Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu

this was the biggest mistake.
 
Wahindi walikuja kama coolies na waarabu kama mercenaries hired by Swahili chief to fight Portuguese
 
Si walinyanganywa nyumba zao ndio maana wakajifunza kutojenga. Ila kuna wahindi wamejenga mikoani huko.
Wahindi wako kila mahali wamehamia marekani na canada na wanafanikiwa sana.
Pia hawaachi tamaduni zao hata azaliwe U.K ila bado atakuwa mhindi tu. Lakini mimi mwakitombile nikikaa US mwezi nishageuka snoop
 
Wameajiri watu Ila wanawalipa starvation wages ulishawahi kufanya kazi kwa mhindi uone kero yake

Alafu jaribu ukafanye kazi kwa mzungu utaona utofauti Mkubwa sana
ukiona unalipwa mshahara mdogo ujue hio kazi yako haupo mwenyewe. kwa wahindi kuna watu wanalipwa mamilioni ya pesa kama mishahara.

na hao wazungu unaowatetea hapa
1. ndio wanaomwaga kemikali huko North Mara na kudhuru watu na mifugo
2. ndio wanaokuibia madini kila siku
3. wanatisha serikali zifate matakwa yao la sivyo wanazinyima misaada
4. wanakuletea vita kila upande
5. wanakulazimisha ufuate culture zao kama ushoga etc

kama unasubiria mtu atoke nje aje akuajiri na una rasilimali kibao ujue una tatizo sana kwenye mentality yako. kwani huwezi kuendelea bila Mwarabu, Mhindi ama Mzungu?
 
Mnajifanyaga wazalendo kumbe hamna kitu

Siwatetei wahindi wala waarabu lakini ujue kuwa hata sisi sio ng'ombe wa kushindwa kufanya kazi na kufika hapo bali hatuna heshima na kazi na wengi hamjui hela ina kazi gani na akiba ni nini

Waizi wameiba mabilioni tena wana vyeo vyote na hawajaanza leo kuiba ila huoni hela zao zimeajiri hata wazawa Mia tu

Nyerere aliwaacha kwa sababu hawakujihusisha na siasa bali walikuwa wana finance Chama wapende wasipende

Tunajua kuna watu walifungwa na kusafirishwa kwa kukataa kusaidia au kusaidia Znz

Muiteni mzee M Said hapa atupe ukweli
Tujiulize wanaoiba hela kila kukicha hela ambazo ni za miradi ya nchi yetu wenyewe hao mbona ni zaidi ya Uhaini?

Tufanye kazi hizi lawama miaka 60 sasa tunalia tu na wao ndio wanazungusha mapato

Hebu niwekee wazawa 100 walioajiri vijana 100 kila mmoja hapa
Tujitahidi kufanya miradi mikubwa bila wizi hawa wahindi wataondoka wenyewe

Angalia sehemu nyingi wamehama baada ya wazawa kushika biashara nyingi ila ni biashara za binafsi sio kiwanda wala nini ambapo utasaidia hata watu 50
 
Namba 1 na 4 ni chuki na uongo wa kukaririshwa tu
 
Walifukuza wazingu wakawapa biashara zao Wahindi, Waarabu. Wabantu. Baada ya hapo the ruling elites with their friends decided to come for Wahindi and waarabu na wabantu hawa kudhulumiwa kwani they had already intergrated to the ruling class
 
Tanzania haiwezi kuendelea bila Mwafrika, Mzungu, Mhindi, Mwarabu, Mchina, in that order pay attention to the subject
 
Wanachuma bongo wakasomeshe watoto wao nje,huwa nashangaa sana zile nyumba za NHC zilivyochoka hata rangi jaman hawapaki hatar sana
 
Umetoka familia masikini umepata Kazi unaanza kujenga badala ya kuwekeza, then Wahindi wakikupiga gap unalalamika. Shida sio Nyerere bali ni mind set zetu.
Na wengi tunaingia chaka hapo, na ujenzi haujaisha kazi inakua imeisha unabaki nali gofu, wakati ungekua umewekeza ungekua umesha piga hatua kubwa kuliko huo ujenzi, umaskini na elimu
 
Wapi nimekuambia nasubiria mtu aje aniajiri
 
Walifukuza wazingu wakawapa biashara zao Wahindi, Waarabu. Wabantu. Baada ya hapo the ruling elites with their friends decided to come for Wahindi and waarabu na wabantu hawa kudhulumiwa kwani they had already intergrated to the ruling class
Basi hayo yamepita mbona Bantu wamelala fofofo
Na hao wanaoiba mabilioni mbona hatuyaoni yakifungua viwanda badala yake mtu anajenga nyumba 70 peke yake ili ajinufaishe yeye tu badala ya kujenga kiwanda na watoto masikini wakapata ajira?

Hili ndio tatizo letu mkuu tusilie ya wahindi kwani Nyerere ndio aliwabeba kwa masilahi yake na Chama mbona linajulikana au nakosea mahali

Nakubali kusahihishwa ila sisi weusi hatutaki kubadilika lakini ni wepesi kulia
Hao elites bado wapo na wanalikandamiza taifa
Kupambana na hawa tu na sio waarabu wala wahindi

Hawa wenzetu ndio wanaiba bila Soni tena wanaiba 80% sasa hiyo 20 itasaidia nini kwenye ujenzi wa Taifa?
 
Kuna ninao wafahamu pale kisutu, tangu babu yao kapanga pale, baba yao kazaliwa humo humo, kasoma na kukulia humohumo, kaoa humohumo na yeye kazaliwa humohumo, mpaka kaoa humohumo na yeye sasahv ni mtumzima kabisaa na range kwny 50's na ana wajukuu humohumo, wamechukua flat nzima kwass wanalipa zaidi ya mil200 kwa mwaka, sio anashindwa kua na nyumba laha shaa, hua ananunua nyumba kama upanga, mikocheni, ananunua viwanja tena vya mjini kabisa na anauza! Ajabu hana stationary_business kua kuna kitu amekaaga mahala anauza[emoji1787] hutokaa uone hiyo, ni mtu wa mahesabu sijahi ona au kukutana mtu kama yule ni yeye na mabenk miaka yote, ni yeye na EXCHANGE RATE[emoji23] akina forex na watoto wake ni hivyo hivyo, anasema kuishi kwnye nyumba yako ni hasara haswa ukiwa mpambanaji sijawahi kujua kwanini, kariakoo sijui ilala buguruni hakanyagi na hajawahi kua na mishe huko akipita ni juu kwa juu tazara to airport na akirudi ni hivyohivyo, yeye ni posta, mikocheni, upanga, na bagamoyo weekend tu sijui hua ana strategy gani yule mtu
 
Wanaiba na kuwekeza Ughaibuni hata Putin alishawatukana kwa ujinga wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…