Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu

Wanachuma bongo wakasomeshe watoto wao nje,huwa nashangaa sana zile nyumba za NHC zilivyochoka hata rangi jaman hawapaki hatar sana
Watoto wao wengi hawana akili kwa hiyo ni kupoteza pesa tu afadhali wangesomesha watoto wa Tanzania ambao wanaakili bila kuupendelea familia zao
 
Bongo ukijenga ndo unaonekana una akili, tuna mambo ya ajabu sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Mwarabu anaweza kuanza kuuza petrol kwenye makopo tu mitaani ila baada ya miaka 15 unakuta mtoto wake anamiliki kituo cha mafuta kidogo kijijini na baada ya miaka 30 mjukuu wake ni boss mkubwa ana vituo vya mafuta hata 10 . Ndo jinsi hawa walivo hawarithishani nyumba wao wanarithi biashara. Sisi asilimia kubwa hata ukiwa ni meneja wa kampuni kubwa ila tunawaza kwanza kujenga nyumba ili ata ukistaafu utapata ela ya kodi na maisha yataenda watoto zako watajitaftia wenyewe. Ndo mana unakuta familia ya kiafrika wana maisha ya kawaida tu ila ukiwauliza wanaweza kukwambia babu yao alikua boss mkubwa wa shirika flani ila mwarabu unakuta ni tajiri ila atakwambia babu yake alikua anauza karanga.
 
Yuko tayari kuishi kwenye nyumba za NHC au kupanga kule kariakoo au upanga na kamwe hawez fanya uwekezaji

Jamii inaishi kimahesabu. Maana ofisi au biashara ipo chini akishuka toka ghorofani au ipo mtaa wa pili.

Hapo amepata nafuu kubwa anatembea kwa mguu, hatumii mafuta mengi ktk gari, muda hapotezi, rahisi kukutana na wafanyabishara au wateja kukamilisha dili yaani kuna manufaa makubwa kuishi mjini-kati.

Sasa tuje kwa jamii nyingine ya kiTanzania inayopenda kuishi katika hekalu au jumba huko Mabwepande huku unaendesha prado kama ilivyo kwa raia wengine wa,kiTanzania wanaopenda kuishi nje ya mji ktk mahekalu yao.
 
wewe unapoteza mda miaka 30 upo darasani unaloweka miguu kwenye beseni unasoma upate vyeti Ili ukaajiriwe, mwenzako miaka 30 yupo field anasimamia biashara za familia

Mmatumbi asipoelewa hapo ndipo alipojikwaa akapishana na utajiri endelevu basi itakuwa ngumu kumuelezea abadilishe staili ya maisha ili aweze kutoka kimaisha kwa kujiajiri.
 
Watanzania kibao hawajui kiSwahili mfano nenda Sukumaland, jamii ya wafugaji bonde la Ihefu n.k utakutana na waTanzania hawajui kiswahili
Umezaliwa kariakoo alafu hujui kiswahili we unaona ni sawa
 
Ukitembea mjini kati kuanzia Bibi Titi kuelekea baharini nyanyua kichwa uangalie majumba ya zamani. Utaona mengi yana majina na tarehe yaliyojengwa. Miaka ni 1920s hadi 1960s na majina ni ya Wahindi.
Hizi ni nyumba Mwalimu alitaifisha zikabatizwa Msajili wa Majumba na kwa sasa NHC.
 
Unapoteza mda na pesa kusoma masters kisha unatembeza bahasha miaka 7 umri limit wa ajira unakutupa mkono, unaishia kuwa bodaboda, au unafungua kibanda si bora ungemaliza la saba tu ukaanza bodaboda ukawa mbali kuliko kutupa mda darasani
 
Baada ya Amin kuwafukuza wahidi Uganda nyanja zote za uchumi zilichukuliwa na waafrica/waganda, ukienda kampala biashara kubwa imeshikiliwa na wazawa, ni jambo la kawaida kuona mzawa anamiliki ghorofa linatoka mtaa mmoja hadi mwingine na anawapangisha hao wahindi, ni jambo la kawaida kuona mganda anamzabua makofi muhindi pale anapoleta unyanyasaji kwa mzawa.
 
Nakubaliana nawe mia kwa mia. Hii ni kansa aliyotuachia mwendazake Kambarage
 
Nakubaliana nawe mia kwa mia. Hii ni kansa aliyotuachia mwendazake Kambarage
Tunauchumi ambayo walioshika uchumi ni passenger hakuna hela yeyote Ile wanayoipata Tanzania wanawekeza Tanzania mim nimekaa na wahindi na warabu hakuna watu wabinafsi Kama wale

Muhindi/muharabu/na Sasa mchina hata azaliwe Tanzania ataishi kama passenger muangalie rostam na Manji wameshachuma Tanzania ssa wanaishi dubai
 
Kuandika kwenyew hujui
Eti mharabu 🤣🤣
 
Hao unaowataja wameiba serikalini. Watawala wetu wezi wanapenda kuwatumia magabacholi kwa vile si tishio kwao. Wakiboronga wanawafukuza kama walivyofanya wakati wa Chavda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…