Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hahaha Bush Dokta ni Sisi wa mitishamba, conservatives"...kuna mambo mengi aliyoyafanya...", lakini wewe huyajui?
Ndiyo sababu ukajipachika jina sahihi la 'Bush Dokta'; linaendana vizuri sana na fikra zako.
Mkuu, sijui mimi ningeyasemaje haya vizuri zaidi ya ulivyoyaandika wewe.Nyerere akijenga TAIFA.
Mao alijemmnga TAIFA.
Wao kujenga UCHUMI wameshimdwa, lawama zote kwa Nyerere.
Nyerere ameacha ARDHI, WATU, MADINI bila hata kuchimba, KILIMO, VIWANDA ila leo wanauza mpaka HEWA (CARBON CREDITS) halafu lawama ni Nyerere.
Unaokea elfu 2, za Mwanasiasa MWIZI na MUUAJI halafu unamlaumu Nyerere.
Huwezi kuwa 'conserative halafu ukabeza juhudi alizofanya Nyerere kujenga taifa hili liwe la kuheshimika.Hahaha Bush Dokta ni Sisi wa mitishamba, conservatives
Mimi naweza kutetea "ujinga"; lakini ni wazi kabisa hapa kwamba wewe unatetea upumbavu, hata hujui unachotetea.Acha kutetea ujinga na uchoyo wa huyo mchonga meno. Alipokuwa hai alikuwa Bado na nguvu yakuwashauri aliokuwa anataka wawe VIONGOZI wa nchi cha ajabu hakufanya hivyo!!. Kwahiyo matatizo na ubovu wa VIONGOZI huu umetokana na unafiki wake.
Leo hii Samia anagawa gesi ya Ntorya, Mtwara kwa wajomba zake wa Oman, hakuna anayeuliza chochote juu ya hilo; kwa vile tu kwamba Nyerere ndiye aliyeshindwa kufanya marekebisho ya katiba!.Nyerere alikuwa Anamfuata Ben Usiku wa Manane magogoni kuhusu Sheria ya Ubinafsishaji hasa baada ya Kuuza Benki ya NBC kwa Bei ya hasara mno.
Hakuyaacha kwa makusudi, uwezekano mkubwa ni kwamba alikuwa anaona raia wengi wa Tanzania hawana akili za kutosha kuweka rais sahihi kupitia uchaguzi bila intervention ya 'system' au bunge kuwa na uwezo wa kumdhibiti rais bila kuleta vurugu.Jamii yetu kwa kiasi kikubwa sana imejengwa kwenye misingi ya unafki lakin haya tunayoyalalamikia leo chanzo ni Nyerere ni mbaya zaidi aliyajua yote haya kwa maksudi akayaacha
Leo hii Samia anagawa gesi ya Ntorya, Mtwara kwa wajomba zake wa Oman, hakuna anayeuliza chochote juu ya hilo; kwa vile tu kwamba Nyerere ndiye aliyeshindwa kufanya marekebisho ya katiba!.
Mtu anaua waTanzania ili aendelee kubaki madarakani kwa nguvu; halaumiwi yeye, bali Nyerere ambaye alishindwa kubadili katiba miaka zaidi ya 20 iliyopita!
Ujamaa hauna shida.1. Siasa ya Ujamaa
2. Muungano
3. Katiba
Hayo mambo matatu ndio doa kubwa kwa legacy ya Nyerere
Akiwa kama founder wa Taifa legacy ni kubwa zaidi kwa wakati wote tofauti na waliomfuatia. Ni kweli kuna mengi Nyerere aliyakosea nchi hii lakini huenda nyakati na nia yake ndivyo vya kuangalia zaidi tukizingatia hakuwa fisadi, hakuuza nchi kwa mabepari wala hakupendelea na kunufaisha familia yake.Legacy ya Nyerere haihusiani chochote na mabadiliko yatakayotokea Tanzania kwa enzi zote.
Legacy yake inahusu yaliyofanyika wakati wake siyo nyakati zote wa uwepo wa taifa hili.
Kuna viongozi chungu nzima wataacha 'legacy' zao nyakati mbalimbali za uongozi wao.
Madaraka yalimnufaishaje Nyerere?Alikuwa mroho wa madaraka
Kama huoni tatizo na uko ulaya unabeba maboksi wewe ni tabla lasa utabaki kubeba maboksiMzungu anaingia wapi bila paspport? Nani huwa anawalisha haya matango pori?
Utanisamehe kwa kuuliza:1. Siasa ya Ujamaa
2. Muungano
3. Katiba
Hayo mambo matatu ndio doa kubwa kwa legacy ya Nyerere
Sasa unatilia mashaka juu ya hilo, la kuweka misingi ambayo hawaa wengine wamekuja kuing'oa; au kuna jngine.Akiwa kama founder wa Taifa legacy ni kubwa zaidi kwa wakati wote
Kama huoni tatizo na uko ulaya unabeba maboksi wewe ni tabla lasa utabaki kubeba maboksi
Msingi Nyerere aliuweka ni hii katiba mbovu ya mwaka 1977Sasa unatilia mashaka juu ya hilo, la kuweka misingi ambayo hawaa wengine wamekuja kuing'oa; au kuna jngine.
Kuna yeyote anayehoji jinsi Tanzania ilivyojengwa katika misingi ya kuheshimu utu wa waTanzania? Hiyo ndiyo 'legacy' unayoweza kupindisha lakini huwezi kuifuta.
Misingi iliyowekwa ilikuwa ni ya kumpa mTanzania heshima bila kujali tofauti miongoni mwetu; leo wanakuja wengine wanafanya kinyume na hayo, unasinmama kumlaumu Nyerere na siyo hao; kwa nini?