Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete waliwahi kuvaa Magwanda ya JWTZ walipokuwa Marais?

Walikuwa wanajielewa, once you know ur strength, you don't have to brag about it, make a lot of show off,
Maghu alikuwa anataka watu wamuogope kwa kuwa Tisha, kuumiza, alichukulia kuvaa magwanda kama nembo ya kuonyesha yeye ni tishio kwa kila mtu, deep inside alikuwa dhaifu, kimwili na kiakili,
Samia, ndio kilaza kabisa, ki elimu, ki upeo, na a najua wasaidizi wake wanamdharau, wanampa tu masifa ya juu juu, sasa ili ajiboost, ndio kila wakati kupanga apewe degree za heshima, aitwe DR wakati hata masters Hana, anajivalia magwanda ili kujiboost tu
 
Sahihi kabisa
 
Hata kama umepitia ni mambo ya hovyo sn
 
Nyerere alivaa,halafu amiri jeshi mkuu akivaa sare ya jeshi Kuna shida gani!!
Nyerere aliwahi kuvaa wakati gani? Mwalimu wakati anatenbea Kwa miguu toka Butiama mpaka Mwanza alivaa nguo kama za mgambo.

Lakini pia hakuvaa kuonesha kuwa yeye ni Amiri Jeshi Mkuu.
Kikwete alikuwa anavaa Vazi la Cheo Chake cha Kanali, zile za kijani full Kaunda suti
Huu Sasa ni uzushi mwingine. Amiri Jeshi Mkuu si cheo cha kijeshi kama alivyosema Kiranga .

Sasa Amiri Jeshi Mkuu alivaaje tena sare za jeshi zenye cheo cha Kanali? Unaelewa kuvaa huko kungefanya awapigie saluti Mabrigedia na majenerali wa jeshi?

Hizi hadithi ishieni nazo kwenye vijiwe vya stori mitaani.
 
Duh...
 
Kuna picha za Nyerere akipanga mikakati ya Vita vya Kagera, Nyerere kavaa nguo za mgambo.

Likely because hakukuwa na nguo za kijeshi zenye cheo cha Commander In Chief na Nyerere mwenyewe alielewa kuwa mgambo ni militia si standing army kwa hivyo ipo katika some sort of grey area kwenye kanuni ya "civilian control of the military" ambayo bila shaka Nyerere kwa usomi wake aliielewa.

Sasa huyu Mama wa Kizimkazi na yuke mwenzake Jiwe unafikiri wameelewa hata "civilian control of the military" ni nini?
 
Kikwete akiwa bado yupo jeshini, but basda ya kuingia urais hajawahi. The rest hawajawahi
 
Kabisa.

Na yeye hakuvaa kimgambo kuonesha yeye ni Amiri Jeshi Mkuu. Na dhana kwamba Amiri Jeshi Mkuu si mwanajeshi ndiyo watu hawaielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…