JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Walikuwa wanajielewa, once you know ur strength, you don't have to brag about it, make a lot of show off,Mwalimu Nyerere ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa kwanza baada ya Tanganyika kupata Uhuru na Tanganyika ilipoungana na Zanzibar kuunda Tanzania.
Mwalimu yeye ndiye aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wakati wa vita ya Kagera na kwenye harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika.
Ukiachilia mbali Mwalimu, Mzee Ali Hassan Mwinyi na Benjamini Mkapa, Jakaya Kikwete yeye alikuwa ni mwanajeshi kabla hajawa Rais.
Lakini sina kumbukumbu kama hao maris wanne wa Tanzania enzi wakiwa ni Marais wa Tanzania, waliwahi kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao.
Kama Kuna kumbukumbu za Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete kuvaa sare za JWTZ kuonesha uamiri jeshi Mkuu wao, naomba niwekewe ili nibadili mafaili kwenye kumbukumbu za mbongo yangu.
Maghu alikuwa anataka watu wamuogope kwa kuwa Tisha, kuumiza, alichukulia kuvaa magwanda kama nembo ya kuonyesha yeye ni tishio kwa kila mtu, deep inside alikuwa dhaifu, kimwili na kiakili,
Samia, ndio kilaza kabisa, ki elimu, ki upeo, na a najua wasaidizi wake wanamdharau, wanampa tu masifa ya juu juu, sasa ili ajiboost, ndio kila wakati kupanga apewe degree za heshima, aitwe DR wakati hata masters Hana, anajivalia magwanda ili kujiboost tu