Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

Naona uko shocked siyo

Huamini ulichokiskia

Baadae tutakuletea namna kanisa lilivyodhulumu mradi ya kujenga barabara kusini na kupeleka pesa ya mfadhili KUWAIT FUND kujenga hospital ya bugando

Tunayo mengi sana
Inaonekana Kanisa Katoliki limekupa uchungu mwingi moyoni!
 
Sawa tunakubali waislam mlichangia uhuru.Mnatakaje,nchi iwe ya Kiislam?
 
Umetawaza? Manake mji hauna maji
 
communism is not good, haiendani na Christianity, ndiyo maana commumist countries nyingi ni islamic …
China ni waislam,urusi ni waislam,Cuba ni waislam,Venezuela ni waislam,Vietnam ni waislam,Poland ni waislam,Korea Kaskazini ni waislam? n.k,n.k
Rejelea historia vizuri
Nchi za kiarabu ambapo ndio uislam umeanzia huko wana sera za kibepari
 
Namba saba sio kweli aliyetunga wimbo wa taifa simjui ila sio kanisa ila walichukua tune za Nkosi Sikeleli Africa kutoka Africa kusini mtunzi Enock Sentonga na nyimbo za taifa ya mataifa mengi ya SADIC zina tune inayofanana labda lugha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…