Mimi falsafa yangu ni ya kuangalia ideas, si watu.Mkuu role model wako nani kwenye masuala ya falsafa
Acha kudanganya watu. Huna falsafa yoyote wala uelewa. Uliamua tu nawe utoke hivi. Hata hoja huwa hujui kujenga. Huelewi hata maana ya falsafa. Huwezi sema falsafa yako ni kuangalia ideas si watu. Inaonesha hujui maana ya falsafa. Ulikaa ukaona "NTOKE VIPI ?LABDA NTOKE NA STYLE YA HAKUNA MUNGU"Mimi falsafa yangu ni ya kuangalia ideas, si watu.
Watu wote niliowachambua nimewakuta wana mapungufu mengi hata kwa mbali tu na ukiwakaribia zaidi ndivyo makosa yanavyozidi.
Kwa sababu ni watu.
Daaaaaaaaah.... Utawashiwa motoHawa watu humu ndani ni matusi na ugomvi. Nimewaona kwenye nyuzi nyingi sana. Sijaona wanawake wenye matusi au ugomvi na najua wakija hapa watatukana. Wabadilike tabia sasa. Huwa wengine hawamalizi mwezi wanapigwa ban.
GENTAMYCINE
Chizi Maarifa
Komeo Lachuma
ngara23
Lamomy
Nimefika niambie
Mtoa mada unakomenti vipi kwangu😃😃Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .
Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.
Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.
Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.
Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.
We jamaaa 🤨Huyo mmama Ma Mshuza mwenye tako kubwa anakuogopa 😂 mfate pm mmalizane
Hahaha vipi dogo!We jamaaa 🤨
Kama kawaida inakuaje mambo vipiHahaha vipi dogo!
Ananiogopea nini mimi kijana mpole sanaaaaaa.Huyo mmama Ma Mshuza mwenye tako kubwa anakuogopa 😂 mfate pm mmalizane
Ukorofi 🤣Ananiogopea nini mimi kijana mpole sanaaaaaa.
Mkuu huwa unapenda kusoma vitabu vyenye maudhui gani?Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) angekuwapo, watu wasingehitaji kusema yupo.
Ukiona watu wanatetea sana hoja za kusema Mungu yupo, ujue ni kwa sababu Mungu mwenyewe hayupo na hivyo hawezi kujisemea kwamba yupo.
Mjadala mzima wa kubishania uwepo wa Mungu ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.
Angekuwapo, kila mtu angejua kwa uhakika yupo kiasi ambacho mjadala huu usingewezekana.
Hapa JF ushawahi kuona watu wanajadiliana hewa ipo, au maji yapo?
These are things that are so obvious we don't need to argue over.
Sasa kwa nini Mungu naye asingejidhihirisha kwa uwazi bila utata kwa watu wote hivyo na kutuepusha na mizozo hii?
Kutojidhihirisha hivyo ni ukatili. Watu wanauana kwa ubishi wa mambo ya Mungu.
Mungu huyo angekuwapo, asingekuwa mkatili hivyo.
Kuwapo kwa mzozo huu ni ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
Sayansi, falsafa, historia, baiografia, geopolitics, current events.Mkuu huwa unapenda kusoma vitabu vyenye maudhui gani?