[emoji23][emoji23]
Ni kweli wanawake wenye njaa anaweza kuomba pesa na hasijui anataka kuifanyia jambo gani yani yeye ilimradi akuombe pesa tu.Ndio maana kuingia ktk mahusiano na Mwanamke njaa kali siwezi.. Lazima awe vzr financially na kama akiniomba hela sio hizi mia mia.. Yaan akisema bby naomba hela najua kwel huyu anataka HELA.
Kweli mkuu ushauri wako nakubaliana nao haha mtu anaamka asubuhi hapa sijala na njaa omba gemu sababu nyingi ukishaona hivyo chukua 50 zako maana utapata hasara unaeza mpa chakula, pesa na bado anakudharauNdio maana kuingia ktk mahusiano na Mwanamke njaa kali siwezi.. Lazima awe vzr financially na kama akiniomba hela sio hizi mia mia.. Yaan akisema bby naomba hela najua kwel huyu anataka HELA.
Endeleeni kuwapa pesa hao walemavu ombaombaKweli mkuu ushauri wako nakubaliana nao haha mtu anaamka asubuhi hapa sijala na njaa omba gemu sababu nyingi ukishaona hivyo chukua 50 zako maana utapata hasara unaeza mpa chakula, pesa na bado anakudharau
🤣🤣🤣.
Je, ningemwahidi milioni moja si angedadisi mpaka nyumbani kwangu aje aidai, maana hii ni ahadi hewa ya laki moja tu kafanya hivi.
💯🤝Pesa za dili ukiendekeza kuhonga hutoboi.
Mimi Shem wangu kila nikimwomba zaga anazingua ila kila siku ananipigia virungu namsaidia, sasa nimepata mwarobaini wake. Kila mmoja ale anakopeleka kitoweo.Wanawake wengi saivi pesa,pesa kuna mmoja nilikutana naye siku moja inayofuata nampigia anaagiza kama pesa kaweka kwangu nikafuta namba na maisha tunasonga hakuna boya game lenyewe mtu anakuzungusha afu pesa mbele akaona mjanja nimemshtukia. N.B Kumaliza mahusiano na mwanamke anayependa pesa sawa na kumaliza mkopo benki.
Kwa taarifa nilizozipata ni kwamba umaskini na matatizo ya wanaume wengi ni kwasababu ya kuhonga kichiziWanawake wanamaliza sana pesa ukiendekeza kuonga na kupigwa vizinga
Pamoja mkuu kama kawaida.Mimi Shem wangu kila nikimwomba zaga anazingua ila kila siku ananipigia virungu namsaidia, sasa nimepata mwarobaini wake. Kila mmoja ale anakopeleka kitoweo.
Sasa hivi kila akijichekesha na kuniomba msimbazi namwambia subiri takujibu hiyo ndo imetoka