Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

Ndio maana kuingia ktk mahusiano na Mwanamke njaa kali siwezi.. Lazima awe vzr financially na kama akiniomba hela sio hizi mia mia.. Yaan akisema bby naomba hela najua kwel huyu anataka HELA.
Ni kweli wanawake wenye njaa anaweza kuomba pesa na hasijui anataka kuifanyia jambo gani yani yeye ilimradi akuombe pesa tu.
 
Ndio maana kuingia ktk mahusiano na Mwanamke njaa kali siwezi.. Lazima awe vzr financially na kama akiniomba hela sio hizi mia mia.. Yaan akisema bby naomba hela najua kwel huyu anataka HELA.
Kweli mkuu ushauri wako nakubaliana nao haha mtu anaamka asubuhi hapa sijala na njaa omba gemu sababu nyingi ukishaona hivyo chukua 50 zako maana utapata hasara unaeza mpa chakula, pesa na bado anakudharau
 
Endeleeni kuwapa pesa hao walemavu ombaomba
 
Wanawake wengi saivi pesa, pesa kuna mmoja nilikutana naye siku moja inayofuata nampigia anaagiza kama pesa kaweka kwangu nikafuta namba na maisha tunasonga hakuna boya game lenyewe mtu anakuzungusha afu pesa mbele akaona mjanja nimemshtukia. N.B Kumaliza mahusiano na mwanamke anayependa pesa sawa na kumaliza mkopo benki.
 
Wanawake wengi saivi pesa,pesa kuna mmoja nilikutana naye siku moja inayofuata nampigia anaagiza kama pesa kaweka kwangu nikafuta namba na maisha tunasonga hakuna boya game lenyewe mtu anakuzungusha afu pesa mbele akaona mjanja nimemshtukia. N.B Kumaliza mahusiano na mwanamke anayependa pesa sawa na kumaliza mkopo benki.
Mimi Shem wangu kila nikimwomba zaga anazingua ila kila siku ananipigia virungu namsaidia, sasa nimepata mwarobaini wake. Kila mmoja ale anakopeleka kitoweo.
Sasa hivi kila akijichekesha na kuniomba msimbazi namwambia subiri takujibu hiyo ndo imetoka
 
Pamoja mkuu kama kawaida.
 
Back
Top Bottom