Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #41
Thy MAMA.Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana
Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana
Niliajiriwa 2013 tokea hapo sijawahi panda daraja. Mwendazake alinyonya sana haki yetu. Tena zile haki za kisheria kama increments ila mama ameponya majeraha ya msukuma. Watumishi kwenye BAJETI 2021/22. 1. PAYE imeshushwa kutoka 9% mpaka 8%. 2. Bil 449 kwa ajili ya kupandisha vyeo watumishi...www.jamiiforums.com
Basi mkuu usipanic ila ushauri wangu wa mwisho kwako naomba ukae sana na watu wazima ili wakufundishe elimu ya maisha hasa ndoa ambayo haitolewi darsani.Wenye upeo mkubwa kumbe mko pessimism hivi...
Duh sikujua hilo, asante.
ONE LOVE MWENYE AKILI KUBWA
Mkeo ana bahati Sana kumpata broo kama wewe mwenye akili kubwa Ndio maana mkeo hawezi kuchepuka.
Sisi mafala ngoja tuendelee kutombewa na wachungaji.
#YNWA
Mimi ni Muislam na katika nguzo za imani kati ya nguzo 6 za Uislam mojawapo ni kuridhika au kwa kiarabu Qadar.Duh your so NEGATIVITY BRO.
Naomba niishie hapa.
MUNGU akutibu.
Usisahau kesho kanisani.
#YNWA
Bro nipanic kwa KEY BOARD WORRIOR Wa social media..!!Basi mkuu usipanic ila ushauri wangu wa mwisho kwako naomba ukae sana na watu wazima ili wakufundishe elimu ya maisha hasa ndoa ambayo haitolewi darsani.
Kwanini hujiulizi pamoja na changamoto na utamu wote wa ndoa tangu miaka hiyo lakini bado....
_usaliti upo
_ndoa mpya zinafungwa
_ndoa zinavunjika daily
_ugomvi kila siku kwa wanandoa
_ wanaosifu ndoa wapo
Ndoa ni zaidi ya kusalitiana.
Ndio maana una akili kubwaa kwasababu ni shekhe.Mimi ni Muislam na katika nguzo za imani kati ya nguzo 6 za Uislam mojawapo ni kuridhika au kwa kiarabu Qadar.
Imani yetu ni kuwa kila linalokutokea ni mpango wa Mungu kwa kuwa yeye ndiye muweza. Likiwa jema ni mtihani na likiwa baya ni mtihani vilevile. Najua huku nakupoteza ila ntafanyaje mdogo wangu wewe hutaki kuelewa.
Mimi nakushauri sio kwamba najua sana hapana ila kwa kuwa najua huna experience na maisha ya kawaida zaidi ya hio elimu tu. Maandiko yako yanasadiki kuwa umdogo sana, sasa nakushauri kwa faida yako ila we unaniona mjuaji haya basi wasubiri wavulana wenzio wakupoteze.Bro nipanic kwa KEY BOARD WORRIOR Wa social media..!!
How??
PESSIMISM wapo wengi sanaa hata kazini wapo.
1. Hujiona wanahaki kuliko wengine
2. Hujiona na akili kubwa sanaa
3. Hujiona hutoa ushauri konki
4. Hujiona wanajuaaa
5. JICHUNGUZE HALAFU ENDELEA KUJAZA.... 5....10.
#YNWA
Kwa hiyo kila Muislam ni sheikh au sio, nilishakwambia hapo juu kuwa acha hiyo mentality yako iliyofanya ukasalitiwa na mzazi mwenzio.Ndio maana una akili kubwaa kwasababu ni shekhe.
Ngoja Mimi akili ndogo nikomae na Hawa wachungaji wagonga wake za watu.
#YNWA
Rudi post #44 halafu soma point ya 3......... nilishakwambia hapo juu kuwa acha hiyo mentality yako iliyofanya ukasalitiwa na mzazi mwenzio.
Pevuka basi
Me huwa napenda watu kama wewe, so kuanzia sasa umekuwa rafiki yangu mpaka utakapobadilika.Rudi post #44 halafu soma point ya 3.
Asante kwa kuthibitisha.
Asante kwa kupunguza mdahalo.
#YNWA
Amen.Hutakiwi kuoa kwasababu ya shinikizo la watu bali kwasababu wakati sahihi umefika na umepata mtu sahihi.
Ndoa inahitaji stability kiuchumi,kifikra na utayari.Kama unajiona haupo tayari kiuchumi,usioe.Kama unajiona haupo tayari kiakili(mental stability)usioe.Usiwaolee watu oa kwasababu wewe unataka kuoa nadhani tumeelewana.Watu kusema watasema hawaachi kusema ndugu yangu,binaadamu hatuna jema.Leo huna kazi watasema huna kazi,ukiwa hujaoa watasema huoi,kama hauzai watasema hauzai,una matatizo ya uzazi,ndoa ikiyumba watapata pia la kusema.Kama haujajenga watasema na vyeo vyake vyote anashindwa hata kujenga .
Ninachokushauri mimi fanya kile nafsi yako inaridhia kwa wakati wako.Usije kufanya kitu kuwaridhisha watu ever in this life.Kila mtu ana struggle kivyake.
Vilevile usisubiri sana umri ukakuacha sana utaishia kuwa bachelor for life.
Kuwa na roho ya kuridhika kwasababu naona ur all over the place and you are too ambitious.All your achievements take time and time is moving is not always with you.So you need to move with time.Ndoa isiwe kizuizi wewe kushindwa kuendelea kupiga hatua.Unaweza kufunga ndoa na ukaendelea kuachieve zaidi na zaidi.*Phd unaweza kuchukua baadae sio lazima sasa.*Kama unaona pesa nyingi inaenda kwenye mashamba inabidi uyaache kwa sasa ili ufocus on one thing at a time.Take babysteps.Dont bite too much than what you can chew.Ndoa vilevile hufungua milango ya baraka na mafanikio.
Kila la kheri.
Umemaliza mkuu asipokuelewa wewe basiHutakiwi kuoa kwasababu ya shinikizo la watu bali kwasababu wakati sahihi umefika na umepata mtu sahihi.
Ndoa inahitaji stability kiuchumi,kifikra na utayari.Kama unajiona haupo tayari kiuchumi,usioe.Kama unajiona haupo tayari kiakili(mental stability)usioe.Usiwaolee watu oa kwasababu wewe unataka kuoa nadhani tumeelewana.Watu kusema watasema hawaachi kusema ndugu yangu,binaadamu hatuna jema.Leo huna kazi watasema huna kazi,ukiwa hujaoa watasema huoi,kama hauzai watasema hauzai,una matatizo ya uzazi,ndoa ikiyumba watapata pia la kusema.Kama haujajenga watasema na vyeo vyake vyote anashindwa hata kujenga .
Ninachokushauri mimi fanya kile nafsi yako inaridhia kwa wakati wako.Usije kufanya kitu kuwaridhisha watu ever in this life.Kila mtu ana struggle kivyake.
Vilevile usisubiri sana umri ukakuacha sana utaishia kuwa bachelor for life.
Kuwa na roho ya kuridhika kwasababu naona ur all over the place and you are too ambitious.All your achievements take time and time is moving is not always with you.So you need to move with time.Ndoa isiwe kizuizi wewe kushindwa kuendelea kupiga hatua.Unaweza kufunga ndoa na ukaendelea kuachieve zaidi na zaidi.*Phd unaweza kuchukua baadae sio lazima sasa.*Kama unaona pesa nyingi inaenda kwenye mashamba inabidi uyaache kwa sasa ili ufocus on one thing at a time.Take babysteps.Dont bite too much than what you can chew.Ndoa vilevile hufungua milango ya baraka na mafanikio.
Oa mke ambae ni muelewa na mtasaidiana, hatokuwa mzigo kwako
Kila la kheri.
Huyo ametumia tu maneno ya busara kwa kuwa labda hajui michango yako humu.Amen.
Jembekillo angalia hii optimism shekheee.
Haina sijui una akili ndogo, haina ndio maana unatombewa, haina nakuona una akili ndogo zangu kubwa, hakuna hujakua.
FULL OF OPTIMISM.
PESIMISM KILLS.
#YNWA
Kitu kingine pole kwa kusalitiwa,shit happens in life.But we cannot stop living cause shit happens.Amen.
Jembekillo angalia hii optimism shekheee.
Haina sijui una akili ndogo, haina ndio maana unatombewa, haina nakuona una akili ndogo zangu kubwa, hakuna hujakua.
FULL OF OPTIMISM.
PESIMISM KILLS.
#YNWA
jamaa kaongea tambo kibao uzi unaonekana wa tambo zaidi na tumjue sio wa point halisi aliyesemaUzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza
Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Upeo wako bado ni mdogo kuchanganua mambo.
Wanawake wanataka mwanaume aliyepevuka kama mchungaji wako.