Nyie wenye ndoa, mliwezaje kufanya maamuzi mpaka mkaingia ndani ya ndoa?

Usioe man 31 Bado sana sa iv tafuna mbunye had zikome ukioa utaanz tu kusumbuan na kuwekean limit kula bata enjoy life [emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo wanauvunja ndoa wakina Dangote na Bill gate ni wavulana Sana?

#YNWA
Uanaume haupimwi na usomaji wa ATM yako weye mvulana! Usiwe na haraka, utakapokuwa mwanaume utakuja kufahamu, usiumize sana akili yako kwa sasa, furahiya uvulana wako nayo ni stage nzuri ya maisha😜!
 
#YNWA# fanya kwa vitendo sasa.
 
Uzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza

Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....
Mkuu ungekaa kimya tu kama uliona hayakuhusu
Tchao
 
Alishagajitangaza humu Hana mpango wa kuoa, huu uzi ni tambo na ashuo tu,
Kwahiyo nikiomba mbunye PM hutonipa kwasababu ya tabia yangu mbaya ya kutangaza mabaya.

Poor me kwa kukosa mbunye za JF😭😭

#YNWA
 
Una miaka 31 halafu unajiita yatima?? Oa bro acha ujinga up uyatima utakutoka tu.
 
Uzi umejaa tambo za kihaya nyiingi hasa hapo namba 1 Hadi 3 haikuhitajika maelezo yote hayo, hatujakuuliza

Hili bandiko wapelekee wanaokuhimiza kuoa,
To me uoe, usioe, uolewe ama ujioe hainihusu.....
Bado umemsoma mwanzo mwisho na ume comment isingekuhusu ungepita juu kwa juu.
 
Hili wazo nilishawahi kuwa nalo...
Nitafute demu lenye Kazi yake au biashara zake, kifupi lenye hela.

Tulane kwa kipindi fulani halafu kila mtu achukue 50 zake.

Ila sasa kupatikana hayapatikani.

#YNWA
Kumbe ndo akili zako zinawaza hivi? Basi sawaa
 
Kwanza hakuna ndoa kamirifu,yaani isiyokuwa na matatizo,pili hakuna mwanadamu mkamirifu,kama unatafutwa "perfect"person,usioe,nenda mbinguni,tatu ndoa ni kama kuingia kwenye biashara ni risk tu,
Unaweza ukaoa leo,kesho ukagongewa na mshenga au best man wako,au unaweza ukaoa leo,ukaishi maisha matamu unashangaa,
Ukiona mzee Mwinyi,au mzee sita,au watu wanadumu miaka 40 ya ndoa,sio kwamba hawakuwa na matatizo,ni uvumilivu na kusamehana,na kumuweka Mungu mbele,angalizo,oa ukitaka,sio kwa kushinikizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…