Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Anza wewe kuokota kazi ya kumlinda Lema kiongozi wako Kama rahisi
Ufaidi Muungano mkuu, sahau hayo ya kujisemesha hapa kuhusu "uvamizi", kumbe huna habari kabisa na kujiondoa kwenye uvamizi.
Maadam nimekwishajua unaposimamia, sina tena sababu ya kuendelea kujibishana nawe hapa kuhusu hizi takataka nyingine unazoleta hapa.
 
 
Kama kila jambo utaliahadadia kutwa, kazi utafanya saa ngapi

Binafsi Naona issue ya bandari is done, everything iliyotolewa angalizo itakua taken care of wakati wa kuandaa performance contract

Btw, ngumu sana kwako kunielewa

Hebu tutumie na nyimbo nyingine Basi…. Piga verse ya kabanga
 
Uzushi huu ni kwa faida gani hasa!
Na je kwa kuendelea na uzushi wenu mnadhani ndo itasaidia kuifanya serikali iachane na mpango wake?
Weka ukweli hapa, bandari imeuzwa sh? Au imekodishwa kwa sh?
 
nikushitue mara ngapi wakati timu imesha ingia maandalizi yamesha iva, nitakushitua siku ya kodi yetu ya trillioni 27 itakapo kuwa inalipwa.
Uitoe wapi hiyo 27T uongo mtupu.
 
wewe sio mtanzania, kaa kimya.
Nyie mnaouza ndio sio watanzania mnajua mlishahamisha familia zenu na kutuachia msala, hivi kweli unaweza kuwa na akili timamu kweli ukafunga huo mkataba, Mungu anawaona aisee.
 
Nonsense. Uwepo wa bandari bila kumnufaisha mtanganyika ni sawa na kusema hiyo bandari sio yetu, hapa hakuna suala la motives zao au vinginevyo, ni suala la maslahi ya taifa, hizo "motives" mnazitumia.mnaposhindwa kujibu maswali yetu ya msingi kuhusu ule mkataba wa hovyo.
 
Nyie mnaouza ndio sio watanzania mnajua mlishahamisha familia zenu na kutuachia msala, hivi kweli unaweza kuwa na akili timamu kweli ukafunga huo mkataba, Mungu anawaona aisee.
imeuzwa Sh. ngapi?
acha kuumiza kichwa chako bure kwa kudanganywa na chadema.
 
Huku wananchi tumecharuka, hatutaki upumbavu wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…