Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

16. Pamoja uwezo wake wa kuua kwa haraka, ila anatabia za kususa, hasa akisemwa sana.

17. Wako 10 Dunia nzima, na huwa wanawasiliana kwa njia ya meditation mara 3 kwa mwaka.
 
Huu sasa ni uongo usiovumilika🤣
Hakika ni uongo usio vumilika, sababu hakuna nyoka mwenye hizo sifa alizoziandika, ila mwandishi kakidhi hitaji la hili jukwaa JF Chit-Chats and Jokes, tuipokee chai yake kama ilivyo.
=
 
Black Mamba Hana tabu ee
 
3. Anaweza kubadilika anapohisi kuwa kuna adui karibu yake na kuwa mamba

Maajabu hayo, haijawahi kutokea kiumbe kimoja kubadilika kwenda kingine Tena tofauti kabisa
 
Jana Simba imeshinda goli moja kwa wale wasioangalia mpira
 
Hakuna chords hapo Mamujay kaingizwa chaka na huyo mwana wa Moro ni muongo sana huko FB nikipata story zake nyingine nitaweka hapa
 
Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.[emoji1542][emoji1542][emoji1542]Hazalishi wala hazai kwa sababu nyoka huyu huteremshwa toka angani.
 
Watu 250 kwa sekunde 5
Au Mimi ndo sijaelewa hiyo namba 4
 
Hakuna ukweli wowote hapo... et anasikiza mnazungumza nini😂😂😂🙌
 
16. Pamoja uwezo wake wa kuua kwa haraka, ila anatabia za kususa, hasa akisemwa sana.

17. Wako 10 Dunia nzima, na huwa wanawasiliana kwa njia ya meditation mara 3 kwa mwaka.
Ulikwenda ibadani Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…