Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huku una akili sana ila siasani unakuwa kama mbwiga Fulani hiviAkitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa
Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.
Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.
Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
Nilimuuliza aliyesema Jamaa ni mvivu!Kwani yeye alisema anawimbo anataka kuiachia wakamkataza?
Ndio hapo sasa! nadhani hawajui kazi ya managementhahaa sindio hapo sasa ?? swala la msanii kutoa nyimbo silipo chini ya management
Nyie ndio wale mnaojifanya mashabiki wa mtu fulani kumbe mpo kwake kwa ajili ya mtu mwingine! Mlikuwepo mamilioni ya aina yenu wakati wa Wema Sepetu!! Huyo Zari mwenyewe alimkuta Diamond anakiki; sasa kivipi leo hii ionekane hakiki kwa sababu ya Zari?Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa
Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.
Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.
Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
We jamaa nilidhani ni mtu unayejielewa na sikufahamu kabisa kwamba ni hopeless kiasi hiki. Unaweza kufafanua hilo suala la watangazaji wa tv? Anza kwa kutaja watangazaji WOTE wa hiyo tv na vipindi vyao kisha husisha na hilo suala la udini vinginevyo kuna kila dalili wewe ndo unasumbuliwa na udini.Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Mbona unanitukana?We jamaa nilidhani ni mtu unayejielewa na sikufahamu kabisa kwamba ni hopeless kiasi hiki. Unaweza kufafanua hilo suala la watangazaji wa tv? Anza kwa kutaja watangazaji WOTE wa hiyo tv na vipindi vyao kisha husisha na hilo suala la udini vinginevyo kuna kila dalili wewe ndo unasumbuliwa na udini.
Mkataba wa Rich Mavoko na WCB unasemaje?Ndio mkataba wa kinyonyaji huo....
nadhani mavoko aliingia kichwa kichwa....
Unanitia aibu kama sio kichefuchefu! Karne ya 21 bado mtu una mawazo ya udini!!!Mbona unanitukana?
Hayo ni maoni yangu mkuu. Wewe ungeyapinga kwa hoja tu..
Kwani duniani hakuna udini? Serikali tu ina udiniUnanitia aibu kama sio kichefuchefu! Karne ya 21 bado mtu una mawazo ya udini!!!
Nisaidie wewe! Yaani mtu wakiona anavaa kanzu na ku-post Instagram; ndo basi tena!!Hivi kweli dimond awe mdini?,kwa dini ipi hyo aliyokuwa nayo.
Jibu basi maswali niliyokuuliza ili u-defend hoja yako ya udini manake watu wanaotumia kichwa kufikiri, hawaoni udini wowote pale zaidi ya mambo kutawaliwa na coincidence.Kwani duniani hakuna udini? Serikali tu ina udini
Tatizo sio kuwa na uwezo! Ni wangapi walikuwa na uwezo?! Kama wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Flavor huwezi kupinga kwamba Mavoko huyu sio yule wa miaka 4 iliyopita! Jingine ni kwamba watu mnajisahaulisha tu lakini ukweli ni kwamba Mavoko alishapotea kwenye game. Jamaa baada ya kupata mkataba Nairobi watu wakadhani ndo angerudi lakini wapi! Yeyote anayefuatilia BF hawezi kupinga kwamba ni WCB ndiyo ilimrudisha Mavoko kwenye game lakini inaonekana wazi kwamba kasi na taratibu za pale vimemshinda na matokeo yake watu wanakuja na sababu za kipumbavu kama kuhusisha na udini.acha uwongo mavocal " hana uwezo"?? wewe jamaa mbona muongo sana
nitakujibu baadaeTatizo sio kuwa na uwezo! Ni wangapi walikuwa na uwezo?! Kama wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Flavor huwezi kupinga kwamba Mavoko huyu sio yule wa miaka 4 iliyopita! Jingine ni kwamba watu mnajisahaulisha tu lakini ukweli ni kwamba Mavoko alishapotea kwenye game. Jamaa baada ya kupata mkataba Nairobi watu wakadhani ndo angerudi lakini wapi! Yeyote anayefuatilia BF hawezi kupinga kwamba ni WCB ndiyo ilimrudisha Mavoko kwenye game lakini inaonekana wazi kwamba kasi na taratibu za pale vimemshinda na matokeo yake watu wanakuja na sababu za kipumbavu kama kuhusisha na udini.
Have a nice conv.. with you broh..Jibu basi maswali niliyokuuliza ili u-defend hoja yako ya udini manake watu wanaotumia kichwa kufikiri, hawaoni udini wowote pale zaidi ya mambo kutawaliwa na coincidence.
That's another way of saying you've no answer to defend your claims coz' all you been saying is just a bullshit.Have a nice conv.. with you broh..
Bye
Tchao.That's another way of saying you've no answer to defend your claims coz' all you been saying is just a bullshit.
Tchaoo!!!