Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa

Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.

Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.

Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
Huku una akili sana ila siasani unakuwa kama mbwiga Fulani hivi
 
Akitoa nyimbo zake nitazisikilizaaaaa

Nampenda alivyo
Kama kaona kuondoka kunamfaa bora aondoke kuliko kukaa pale na bila furaha na kuja kuishia kuugua magonjwa bure.

Ana nyota fulani ya alivyo wanawake wengi tunaipenda.. atuimbie nyimbo bomba tupo nae kama kawa.

Dee siku hizi anajijua alipo sio kama enzi za Zee. Chozi la mwanamke sio la mchezo mchezo
Nyie ndio wale mnaojifanya mashabiki wa mtu fulani kumbe mpo kwake kwa ajili ya mtu mwingine! Mlikuwepo mamilioni ya aina yenu wakati wa Wema Sepetu!! Huyo Zari mwenyewe alimkuta Diamond anakiki; sasa kivipi leo hii ionekane hakiki kwa sababu ya Zari?
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
We jamaa nilidhani ni mtu unayejielewa na sikufahamu kabisa kwamba ni hopeless kiasi hiki. Unaweza kufafanua hilo suala la watangazaji wa tv? Anza kwa kutaja watangazaji WOTE wa hiyo tv na vipindi vyao kisha husisha na hilo suala la udini vinginevyo kuna kila dalili wewe ndo unasumbuliwa na udini.
 
Mbona unanitukana?
Hayo ni maoni yangu mkuu. Wewe ungeyapinga kwa hoja tu..
 
Kwani duniani hakuna udini? Serikali tu ina udini
Jibu basi maswali niliyokuuliza ili u-defend hoja yako ya udini manake watu wanaotumia kichwa kufikiri, hawaoni udini wowote pale zaidi ya mambo kutawaliwa na coincidence.
 
acha uwongo mavocal " hana uwezo"?? wewe jamaa mbona muongo sana
Tatizo sio kuwa na uwezo! Ni wangapi walikuwa na uwezo?! Kama wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Flavor huwezi kupinga kwamba Mavoko huyu sio yule wa miaka 4 iliyopita! Jingine ni kwamba watu mnajisahaulisha tu lakini ukweli ni kwamba Mavoko alishapotea kwenye game. Jamaa baada ya kupata mkataba Nairobi watu wakadhani ndo angerudi lakini wapi! Yeyote anayefuatilia BF hawezi kupinga kwamba ni WCB ndiyo ilimrudisha Mavoko kwenye game lakini inaonekana wazi kwamba kasi na taratibu za pale vimemshinda na matokeo yake watu wanakuja na sababu za kipumbavu kama kuhusisha na udini.
 
nitakujibu baadae
 
Jibu basi maswali niliyokuuliza ili u-defend hoja yako ya udini manake watu wanaotumia kichwa kufikiri, hawaoni udini wowote pale zaidi ya mambo kutawaliwa na coincidence.
Have a nice conv.. with you broh..
Bye
 
Hii thread ni ya kichochezi, acheni ku publicize udini
 
Mavoko ilikuwa lazima aoendoke, unaona hata uwepo wake WCB hakuwa na furaha nao, mara nyingi amekuwa akiwekwa nyuma katika masuala ya kiuongozi maana ingekuwa bend bans mavoko ni densa au mbeba vyombo
 
Yan wanakera sana
Maana mond kaanza maisha kitambo pia huyo zee wao mwenyewe kamkuta mond ameshaanza kujenga madale
Asipate radhi ya mama ake ajr kupata ya zee inahusu vipi?
 
Back
Top Bottom