Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

Ikiwa alipata hicho cha juu mbona alikuwa anaishi hohe hahe maisha ya kawaida kabisa? Mimi naona ilikuwa ni propaganda za kumchafua mzee wa watu tu kwa sababu za tafauti za kisiasa.
 
Uko sahihi kbs mkuu.

Nyerere aliipitisha nchi ktk giza nene, watu walikoswa mahitaji yote ya mhimu, watu walifungiwa sawasawa, wafanyabiashara walipita kwenye tanuru hasa, wafanyakazi walilipwa mishahara midogo isiyoendana na uhitaji, na haikuruhusiwa kujihusisha na chochote chenye kukuingizia kipato nje na ajira, ukifanya maendeleo yoyote unahojiwa umetoa wapi, ukizungumzia siasa tu umekwenda!

Haukua udikteta uchwara bali udikteta kamili.
Ni wengi walikimbia nchi sbb ya uonevu uliokuwepo kipindi chake.

Mawazo yake yalikua sahihi daima na hakuhitaji mawazo mbadala, na tatizo historia zetu hazielezei ukweli wowote bali uongo karibu kila sehemu.
 
Ikiwa alipata hicho cha juu mbona alikuwa anaishi hohe hahe maisha ya kawaida kabisa? Mimi naona ilikuwa ni propaganda za kumchafua mzee wa watu tu kwa sababu za tafauti za kisiasa.
Kuwa na jumba lile kwa miaka ile maeneo ya Mikocheni sio hohehahe labda useme alipokuwa huko London
 
Naunga mkono hoja mkuu!
 
Wasiwasi wa Nyerere angeruhusu ubepari nchi ingemshinda maana wazungu wangerudi mapema sana na kumiliki rasilimali kama Zimbabwe na South Africa
 
Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.

Mh sereous.???? Hana fani Yoyote au.??
 
Kwani Askari Magereza wanapata Laki tano?? Nilitaka kuomba Kazi hii

Askar Magereza mshahara wake +posho zote kwa mtu wa form 4 yule asie na fani Yoyote sio chini ya laki8

Mishahara ya askar wote walipo chini ya wizara ya mambo ya ndani inafanana kulingana na taaluma zao
 
Wasiwasi wa Nyerere angeruhusu ubepari nchi ingemshinda maana wazungu wangerudi mapema sana na kumiliki rasilimali kama Zimbabwe na South Africa
Bora angewaacha wamiliki tu maana kungekua na nafuu mara dufu na tulivyo,Leo tusingekua tunakopa matrillion Ili kujengea matundu ya vyoo
Ni aibu alibanaaaaa mwishowe akaachia mwenyewe Tena Kwa kufail kubaya kabisaa!
 
Wasiwasi wa Nyerere angeruhusu ubepari nchi ingemshinda maana wazungu wangerudi mapema sana na kumiliki rasilimali kama Zimbabwe na South Africa
Haya huko Zimbabwe rasilimali zilipowarudia wazawa nini kimetokea

Ova
 
Haya huko Zimbabwe rasilimali zilipowarudia wazawa nini kimetokea

Ova

Kawaida ya binadamu Hana shukrani. Anapenda kulaumu vitu vidogo na kuacha mambo makubwa. Unasema mwaka 1961 tungeruhusu ubepari leo Tanznia ingekuwaje?. Unaongea hivyo kwa sababu hujayajua madhara ya ubepari. Mimi nashukuru Nyerere kukataa ubepari maana leo tu tunadaiwa trillion 82, je tungeruhusu wazingu wake mapema ingekuwaje?. Tungekuwa tunadaiwa trillion 200. Unapopinga Jambo Rudi nyuma ujiulize Ni kwa nini huko nyuma serikali iliamua ilivyo amua?.
 
Ubepari ndiyo kila kitu sahv

Viongozi wako wengi tu wanaishi kwa mfumo

Wa kibepari

Ova
 
Wewe Dada Nyerere alikufanya nini? mahaba yako kwakwe ni makubwa sana. Yule mzee alitulostisha sana
 
Vp viongozi wa sahv si bado ni wajamaa
Hawana mahekalu,ac zao hazina pesa etc

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…