Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??

Hizi hukumu wapigeni na mafisadi na wezi wa Mali za umma, sio walala hoi/watoto wa kimasikini ( walevi wa bange) mnawapiga mvua ya mawe alafu mafisadi wanapewa vifungo vya nje.
 

Hukumu ya mtungo ni kifungo Cha maisha . Ndio sheria inasema hivyo.
 
Ule unyama ni hatari ,wafungwe tu fasta ,kesi nyingine za ubakaji ni kusingiziwa tu kutokana na chuki ,ila ile vodeo kila kitu kinoanekana.
Nimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.
Naomba kuuliza Yule aliyekuwa anavuta bangi na hakumuingilia Yule binti nae anahukumiwa sawa na Wake waliomuingilia🙏 Km ni sawa Basi Sheria Yetu itakuwa Ina Mapungufu kidogo
 
Halafu tutegemee nchi iondokane na umasikini?

KWa akili 💩 kama hizi?
 
Aliyewatuma kahukumiwa "KUNYONGWA".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…