Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
Hakuna Sheria Wala utaratibu ulifuatwa ... Babu kachajishwa kesi katupwa ndani ili mradi kumfurahisha Mr.Misifa.Babu Seya
Kutuliza mihemko ya public, wataachiwa baada ya muda kwenye rufaa. Tunzeni hii sms
We acha tu.....Usimalize nguvu zako kumkomalia mtu hapa Tanzania,Bora uziweke akiba ukalime.Na anaingia kazini km kawaa.
Watakua wameacha mashimo kibao kwa ajili ya Rufaa
Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??
Hizi hukumu wapigeni na mafisadi na wezi wa Mali za umma, sio walala hoi/watoto wa kimasikini ( walevi wa bange) mnawapiga mvua ya mawe alafu mafisadi wanapewa vifungo vya nje.
Nimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.Ule unyama ni hatari ,wafungwe tu fasta ,kesi nyingine za ubakaji ni kusingiziwa tu kutokana na chuki ,ila ile vodeo kila kitu kinoanekana.
Hata wao walikula tunda haraka sana,mawili matunda kimasihara!Mbona haraka sana
Halafu tutegemee nchi iondokane na umasikini?Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
Aliyewatuma kahukumiwa "KUNYONGWA".Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
UKIONDOA TUMBO,UBONGO HAUSEMI KAMA HAUPOSasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Hakika kabisaaa, [emoji22][emoji22]Naiman bado yupo mtaani akichakaza marinda kwa raha zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"MIMI MAVI TUU, NATAKA MAVII TUU, NIKIINGIA MIMI MAVI TUUU, NATAKA JOKERI".
Cc: Lamomy Extrovert mshamba_hachekwi Mbaga Jr Kapeace Mzee wa kupambania Yohimbe bark fundi bishoo The Icebreaker Poor Brain cocastic
Hii kesi Bado haijaisha mkuu mahakama imesema inazid kukusanya ushaid na wanaweza kwenda jela ama kurud uraiani
Utavuna mazao, hakika kabisaa.We acha tu.....Usimalize nguvu zako kumkomalia mtu hapa Tanzania,Bora uziweke akiba ukalime.
Hakika mkuu,au unajiua kisa papuchiTena ujinga wa kiwango cha juu sana,yaan unafungwa maisha kwa ajili ya mbususu?
Sitashangaa hiyo kesi ikafutwa na kuamuriwa ianze upya na Mahakama Kuu au ya Rufani, justice hurried is justice burried.