Nenda kasome irregularities kwenye CPA uone ni zipi zinaweza kutengua maamuzi ya awali na zipi haziwezi kutengua uamuzi.Sasa Mkuu hukusoma hapo niliposema core issues au unataka tu uonekane ulibisha?, unachokisema nakijua na ndio maana nikakiweka hapo.
Alafu pili jinai irregularities zake karibu zote zinaleta doubts na zinauwezo wakupiga maamuzi chini sababu ya standard of proof kwenye jinai ni kali sana.
Nini maana ya kukata rufaa?Acha ujuaji matobo yapi yaliyoachwa? Ingekuwa kuna matobo unayodhani unafikiri wanasheria upande wa utetezi wangeacha kuyatumia kuwanasua wateja wao hadi wasubiri rufaa?
Hii kesi hata ikienda rufaa bado mahakama ya rufaa ita uphold uamuzi wa mahakama ya iliyotoa hukumu.
Wale jamaa hauwezi kuwaunganisha popote zaidi ya kutumia zile video, na uhakika anayetajwa kama afande angeonekana kwenye zile video na yeye ndio tungemuona akiambatana nao mahakamani kwa makosa yanayofuatana.Kwa hiyo unadhani kesi iliegemea ushahidi mmoja tu wa video ya whatsapp? You must be joking dude
Now you talking as a layman. Huwezi kuwaunganisha popote? Hata kwa mawasiliano ya simu? Kuna namna alfu moja na moja za kuwaunganisha na tukio kwa upelelezi makiniWale jamaa hauwezi kuwaunganisha popote zaidi ya kutumia zile video, na uhakika anayetajwa kama afande angeonekana kwenye zile video na yeye ndio tungemuona akiambatana nao mahakamani kwa makosa yanayofuatana.
Utasema am joking ila ndio uhalisia, hii kesi inaudhaifu mkubwa upande wa mashtaka na doubts ni nyingi.
Weka hapa tuone unachokiongelea Mkuu, kama sio wakili anaye practice hautaweza nielewa ninachokiongea isije ikawa unaongelea LLB hapa Mkuu hatutaweza kuelea kwenyebahari moja lazima tutapishana tu.Nenda kasome irregularities kwenye CPA uone ni zipi zinaweza kutengua maamuzi ya awali na zipi haziwezi kutengua uamuzi.
Sio kazi ya mahakama kuuliza eti nani alisambaza picha.Umeshajiuliza yupo wapi aliyesambaza hizo video? Na je alishitakiwa wapi na lini? Kama ni wao wenyewe kama inavyosemwa umeshajiuliza kwanini hilo kosa halipo kwenye charge yao?
Ukipata majibu utayaona matobo.
Nyundo sawa alikua anakula zake mjani,lakini kumbuka hakutoa taarifa za uhalifu inamaana alizificha,na kuficha taarifa za uhalifu inamaana na wwe ni muhalifu!!Ukisikia kula kama ndio siku yako ya mwisho ndio ile
Ila nyundo akikaza anaweza kupunguziwa adhabu maana yeye alikuwa ana kula zake mjani tuu
Kitendo cha afande Fatma kutounganishwa kwenye hii kesi kuna big ??.Mimi naona ni nusu haki imetendeka.Haki imetendeka.
Vipi kuhusu Afande Fatma? Kubwa la maadui?
Muda utafika yataonekana tu,tusisahau kuhusu mawakili wa serikali na umahili wao.Matobo yapi mkuu, tushirikishe ili tujifunze.
Achana na nadharia ongelea uhalisia, kipi kilitolewa na kipi kimetokea. Unaongelea mawasiliano, yametolewa wapi?, hiisio scenario kiongozi hii ni real caseinayochukua maisha ya vijana kwa muda wao wote uliobaki hapa duniani.Now you talking as a layman. Huwezi kuwaunganisha popote? Hata kwa mawasiliano ya simu? Kuna namna alfu moja na moja za kuwaunganisha na tukio kwa upelelezi makini
Nimekupa legal authority ya kufanyia reference sasa unataka nikutafunie kila kitu?Weka hapa tuone unachokiongelea Mkuu, kama sio wakili anaye practice hautaweza nielewa ninachokiongea isije ikawa unaongelea LLB hapa Mkuu hatutaweza kuelea kwenyebahari moja lazima tutapishana tu.
Hukumu umeisoma hadi kufikia conclusion yako? Ama nawe unaongelea nadharia tupu. They deserve to rot in there, throw the key life is over for them little punksAchana na nadharia ongelea uhalisia, kipi kilitolewa na kipi kimetokea. Unaongelea mawasiliano, yametolewa wapi?, hiisio scenario kiongozi hii ni real caseinayochukua maisha ya vijana kwa muda wao wote uliobaki hapa duniani.
Sasa Mkuu unaongea nini kiongozi?, ngoja nikupe shule kidogo maana nauhakika itakusaidia. Kwanza mtuhumiwa hana jukumu lakuthibitisha mashtaka dhidi yake yeye ni mtu asiye na hatia hata unapomuona pale Mahakamani sawa.Sio kazi ya mahakama kuuliza eti nani alisambaza picha.
Mahakama inafanya kazi kwa kile kilicholetwa mbele yake as long as kinakidhi standards za kesi kuwa filed and entertained.
Hao waliojirekeodi ndio waliosambaza hizo video maana kama hawakuwa na nia ya kusambaza kwanini walijirekodi wakitenda jinai?
Unadhani mahakama hadi inafikia uamuzi wa kuwatia hatiani haikujiridhisha pasina shaka kwamba jinai ilitendeka?
Mahakama sio mama yako mzazi useme ikupe kitu ambacho hujakiomba kwenye hati ya mashitaka.
Milioni 1 kila mmoja ni milioni 4 tu. Mie sitoagi mzigo kwa bei hiyo. CHINI SANA
Kama mkuu wa mkoa mstaafishwa.Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!