Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Nenda kasome irregularities kwenye CPA uone ni zipi zinaweza kutengua maamuzi ya awali na zipi haziwezi kutengua uamuzi.Sasa Mkuu hukusoma hapo niliposema core issues au unataka tu uonekane ulibisha?, unachokisema nakijua na ndio maana nikakiweka hapo.
Alafu pili jinai irregularities zake karibu zote zinaleta doubts na zinauwezo wakupiga maamuzi chini sababu ya standard of proof kwenye jinai ni kali sana.