Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Kwa maslahi mapana ya haki inabidi uungane na timu ya mawakili wa kina nyundo kukata rufaa, ama kafungue kesi binafsi kama madeleka anavofanyaga kupinga ukiukwaji wa katiba, vinginevyo hapa unachofanya ni kunogesha kijiwe tu kwa stori. Until then kina nyundo ni mali halali ya magereza for the rest of their damn terrestrial life.Sasa Mkuu unaongea nini kiongozi?, ngoja nikupe shule kidogo maana nauhakika itakusaidia. Kwanza mtuhumiwa hana jukumu lakuthibitisha mashtaka dhidi yake yeye ni mtu asiye na hatia hata unapomuona pale Mahakamani sawa.
Pili, Jamhuri au upande.wa Mashtaka ndio wanatakiwa kuthibitisha mashtaka yao yote Mahakamani, kazi ya mshtakiwa ni moja tu kuonesha madhaifu ya madai na ushahidi wa Jamhuri au mshtaki. Na hawa walikuwa na wakili hivyo hakuna wasi wasi kuwa aliufanya hilo jukumu.
Sasa swali gumu hata kwa mtu aliye nje ya hii kesi ni nani aliyesambaza hizo video?, hauwezi kusema ni hao wakina Nyundo sababu hakuna kosa walilotiwa hatiani la kusambaza picha chafu.
Sasa kama halipo, umma ulizipata video hizo kupitianani?, mbona hayupo Mahakamani? Je alisahaulika au aliachwa kwa makusudi ya wazi sababu huyo angekuja kuwatoa wote hatiani?
Hayalabda tuulizane swali rahisi, zile video zilichukuliwa kwa kupitia kifaa gani?, kama ni simu ni simu aina gani? Je ilitolewa Mahakamani kama ushahidi? Ni simu ya nani? Huyo mtu ameshitakiwa kwa kusambaza video za ngono? Kwanini.hajashitakiwa? Au ni simu au kifaa kilichorekodi hakikupatikana?. Na kama hakikupatikana Mahakama imewezaje kuamini uhalali wa video hizo ambazo kwa teknolojia ilipofika inaweza kutengenezeka?, mwisho je Mahakama ilipuuza utaratibu wa kisheria wa kuchukua ushahidi wa kielekroniki unaotaka kifaa cha chanzo cha ushahidi kiweze kutambulika na kuletwa kama ushahidi?
una uhakika gani kama hakumuingilia vp kama alifanya yake kabla au baada ya kumaliza kurekodi labda alikula mzigo off kamera huwezi juaNimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.
Naomba kuuliza Yule aliyekuwa anavuta bangi na hakumuingilia Yule binti nae anahukumiwa sawa na Wake waliomuingilia🙏 Km ni sawa Basi Sheria Yetu itakuwa Ina Mapungufu kidogo
KamtafuteAfande aliyewatuma yuko wapi?
Tuambie Kwanini aunganishweKitendo cha afande Fatma kutounganishwa kwenye hii kesi kuna big ??.Mimi naona ni nusu haki imetendeka.
Huyo DC ni yupi?Tunawasubilia tuwaone kwenye hukumu ya yule mkuu wa wilaya mfiraji tuone kama nae mtumpiga mvua ya mawe, hatutaki double standard.
Wacha Wee!! Isijekuwa unatowa kwa Savanna tu.Milioni 1 kila mmoja ni milioni 4 tu. Mie sitoagi mzigo kwa bei hiyo. CHINI SANA
We msenge siku akipigwa mtungo mtoto wako alafu uje uandike upuuzi huu,,,Hii hukumu imetolewa kimihemuko sana, yani kifungo Cha maisha kwa kumpiga mtu mtungo?? Au ndio janja janja ili baadae wakate rufaa waachiwe huru? Vipi kuhusu afande aliewatuma??
Hizi hukumu wapigeni na mafisadi na wezi wa Mali za umma, sio walala hoi/watoto wa kimasikini ( walevi wa bange) mnawapiga mvua ya mawe alafu mafisadi wanapewa vifungo vya nje.
Kwani sabaya ilikuwaje? Kapora watu mamilioni kaja kuwa huru kwa kulipa vilaki tu.Inabidi Rufaa wakate hadi mahakama ya juu kabisa, nako wataangukia pua tu. Hii walichofanya hakuna mahakama popote ulimwenguni huu itawaachia huru haipo, nefaaa
Sio DC Ni RCHuyo DC ni yupi?
Mkuu unajua walivyokamatwa waliongea kitu gani huko polisi?Wewehujui unachokiongea Mkuu sikushangai sana ila nataka nikuambie kuwa Mahakama haiendeshwi kwa mihemko.
yaani watu wa download video whatsApp alafu waje kushitaki watu na kuwafunga?, hell no!.
Maana yake ni kuwa hata wewemtu anaweza akaingia adobe photoshop akatengeneza picha zako unavuta fanya matendo ya kiuhalifu alafu wakakukamata wakakupeleka Mahakamani kisha ukapigwa mvua.
Ndio mazingira kama haya yamefangika kwenye hii kesi. Usidhani kuishangilia hiyo hukumu ndio kutenda haki au kuwa salama hapana hata kidogo.
Lazima Mahakama ilipaswa kujidhihirishia bila kuacha shaka kuwa kweli zile video zilichukuliwa na kifaa fulani chenye kameraaina fulani na IMEI namba fulani na kifaa hicho ni ama simu au kamera na lazima iwepo Mahakamani na itolewe na kupokelewa kama ushahidi. Bila hayo madai yote yanaangukia pua.
Sasa watu wamekaa wakaona kesi hiyo kuangukia pua italeta taharuki na aibu na wasi wasi wakaamua kufunga macho bora liende. Sawabora liende ila likifika Mahakama Kuu ambayo ni Mahakama ya rekodi hilo hawatakubali na wakikubali basi hakuna aliye salama hasa kwa dunia ya sasa ya AI ambayo hadi sauti na video za sura yako zinaaeza jitengenwza mtandaoni. Watakukamata na kukufunga wakati wala hujafanya hayo mambo.
Funguka akili, jua kwanini watu wachache wanaoelewa wanapinga hayo maamuzi, sio kwamba wanafurahia kilichosemwa kufanyika ila ni wanaangalia matumizi ya tafsiri za sheria na mihemko ya umma.
Amka Mkuu.
Ndio ni yupi huyo?Sio DC Ni RC
Unajitahidi kutetea wabakaji mzee, ni ndugu zako nini?Wale jamaa hauwezi kuwaunganisha popote zaidi ya kutumia zile video, na uhakika anayetajwa kama afande angeonekana kwenye zile video na yeye ndio tungemuona akiambatana nao mahakamani kwa makosa yanayofuatana.
Utasema am joking ila ndio uhalisia, hii kesi inaudhaifu mkubwa upande wa mashtaka na doubts ni nyingi.
Mwanza parking pale umesahau?Ndio ni yupi huyo?
Newton's 3rd law of motionUCHAWI UPO
USHASIKIA MUME ALIEKUWA AKILA MZIGO NO...
HAYA VIHEREHERE WAMEENDA NDAN MAISHA
URAIAN WANABAKI MUME NA CHENCHEDE
KAZIMNAYO