NASHAURI BINTI AFUNGUE AKAUNTI YA BENKI TUMCHANGIE AJIPANGE KIMAISHA! WAZIRI GWAJIMA NDIO ATOE TANGAZO ILI TUAMINI KATIKA KUCHANGA KWETU! tumchangie maisha yaendelee
 
Tulitaka kifo!
 
Ushahidi wa nini hukuona ile clip binti kaomba maji ya kunywa wakamnyima,akanuomba msamaha afabde hakusikilizwa,unataka ushahidi gani tena
Usije kufanya kosa ukiwa na akili timamu ukidhani ukikamatwa utajitetea nilitumwa😅 haya umesikia katika maelezo ya waliohukumiwa wakisema walitumwa? Au kwenye hiyo video Kuna sehemu panasema tumetukwa na fulani?
 
Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Kesi imesikilizwa Kwa haraka coz ilikua na maslahi Kwa Raia....!

Watanzania wengi walikua wanaifuatilia hii kesi.
 
Nikweli,mbona mahakama ikienda ndivyo sivyo mnamlaumu Rais? Rais anakuwaga state attorney au
Akikaa kimya lazima alaumiwe, Kwanini asitoe tamko lolote la ku-speed up kesi kwa ukatili kama huu?

Mawakili wamepambana na kesi imeisha vizuri kama hivi bila kusukumwa na nguvu toka juu sasa yanini tumsifu Raisi wakati awali alikaa kimya...


Angekua alitoa tamko lolote la ku-speedup kesi iende Haraka, Hawa wanaotoa pongezi kwa Raisi kwenye huu uzi wangekua wapo sahihi tu.

Sasa wanampongezea nini wakati alikaa kimya, si afadhali waipongeze katiba na watu waliosimamia haki !!
 
suala la muda tu mara utasikia wamebadilishiwa gereza ghafla wako china mafunzoni hatimaye operesheni maalum mji wa goma DRC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…