Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
KazinikwamtukunakaziVipi kuhusu aliyewatuma???
Ngojatusubiri walioenda atakuwa labda kesiyake imesogezwa ..nawaza waliotumwa wamekula nyundo
Mtumaji atapona kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KazinikwamtukunakaziVipi kuhusu aliyewatuma???
Ndio mchezoo ulivyopangwaWasije kuchomoka kwenye rufaa tu.
Mmmmmm michezo tuuukuna yule pimbi alikua anasema wametoka anawaona kibaha yako wapi
Mwamba huko jela usiendeleze michezo yako, naskia geto zima limejaa wese tu wakati hata hupiki.UCHAWI UPO
USHASIKIA MUME ALIEKUWA AKILA MZIGO NO...
HAYA VIHEREHERE WAMEENDA NDAN MAISHA
URAIAN WANABAKI MUME NA CHENCHEDE
KAZIMNAYO
U are right,If they grow without the parents, who gonna tell them what is right.
If they grow without the parents, who gonna tell thrm what is wrong?
By Lucky Dube.
Halafu lingine ni kula tunda kimasihala, wanazaliwa watoto kimasihala, watalelewa komasihala. Matokeo yake ni haya.
Kuhusu kupata ajar na kupona now naendelea vyema kabisaa natembea..Aiseee!
Ulisema ulipata ajali ukaumia, ulipata kupona?
Hivi wewe ni Daktari kweli uliyeenda shule kusoma miaka 5-6, au Dokta dokta tu?
Kama haujapona pole, Mwenyezi Mungu akusaidie upone urudi katika majukumu yako ya kila siku.
(maswali yangu hayahusiani na mada)
Ni sawa na mimi nikwambie Bageni rufaa yake iligonga mwamba na akahukumiwa kifo. Ni kesi mbili tofauti zenye ushahidi na mienendo tofautiKwani sabaya ilikuwaje? Kapora watu mamilioni kaja kuwa huru kwa kulipa vilaki tu.
Wrong is wrong even if everyone is doing it and right is right even no one is doing it.WAKILAWITIWA NA KUFANYWA KWA KUNDI LABDA WATATULIA mfano Hata huyo dada wa yombo dovya akiulizwa UNAWEZA KUTA ALITAKA MWENYEWE
Sawa, hongera kwa kupona.Kuhusu kupata ajar na kupona now naendelea vyema kabisaa natembea..
Kuhusu udaktari wangu ni kweli nimesoma 😊
Kama kusema MALAYA wanao jiuza kwenye mabaa na mabarabarani humo na wakwenye mitandao mbali mbali.
Nilienda kutembea temeke na viunga vyake wanawake wavaa madela na kukodi madaladala na KUTOA mawowowo nje wakikatika OVYO OVYO
Mpaka sisi wanaume ndio tunaona aibu WAKILAWITIWA NA KUFANYWA KWA KUNDI LABDA WATATULIA mfano Hata huyo dada wa yombo dovya akiulizwa UNAWEZA KUTA ALITAKA MWENYEWE na Kama Sheria zisinge kuwepo angewasamehe..
Na NYIMBO zenu sijui "" kibanebane sijui Nini Nini Mara sijui kiliwe na nyenyele"
Wapo wanawake wengi Sana wenye maadili huwezi Kuta wanajizalilisha Wala kutendwa ivyo na hata wakitendwa tutapaza sauti zetu Ila sio KUTETEA MALAYA WANAO JITAKIA.
NB.
SIUNGI MKONO WALA SIPO HAKA KUONA HURUMA AU KUTETEA MALAYA WANAO JITAKIA.
Mimi sija encourage watu walawitiwe Wala gang rape..Sawa, hongera kwa kupona.
Badilisha huo mtazamo kuhusu malaya, nini kinawasababisha wawe hivyo na ya kuwa si nyundo wala yeyote mwenye mandate ya kuwafanya lolote ama sivyo kesi ya ubakaji itamuhusu.
Tunapambana vijana wetu waliokosa elimu sahihi wajue ninini maana ya ubakaji ili siku wasijikute kwa pilato na kwenye heading za Millard Ayo, Wewe upo hapa uki-encourage hayo.
Unafurahia kuwaona vijana wadogo jela kwa faida zipi? Au hauelewi implications ya unachokihubiri hapa kwa vijana wadogo ambao akili hazija mature?
Alituhumiwa kwa kosa hilo ilibidi kesi iwe moja.Tuambie Kwanini aunganishwe
Hawa jamaa ninatamani wangefungwa kwenye jela aliyofungwa Pdidy na wawekwe kwenye chumba kimoja awapake mafuta makalioni, kama alivyowapaka akina Tale na Mondi, akili zingerwarudia.Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
Sio kesi moja acha kukurupuka mkuu ,, unajua sababu ya hao vijana kukamatwa?Alituhumiwa kwa kosa hilo ilibidi kesi iwe moja.
Hamna kituSasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Kuna kesi haizna kichwa wala miguu hizo zingepunguzwa nina uhakika magereza yangepata waharifu sahihi,kuna watu kesi za kubambikiwa,kesi za kuku,kesi zisizo na ushahiidi mahakama ziachanae na kesi za namna hiii,ili magereza yasizidiwe lakini sio kunyonga tu kiholela kama ulivyoshauriifike wakati kupunguza msongamano wawe wananyongwa. magereza zinazidiwa wingi wa watu.
Tuhuma za kutumwa na afande hazikuwepo?Sio kesi moja acha kukurupuka mkuu ,, unajua sababu ya hao vijana kukamatwa?
Sawa mkuu nimekuelewa.Wrong is wrong even if everyone is doing it and right is right even no one is doing it.
Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
Kesi imesikilizwa kwa haraka mno maana yake walishahukumiwa kabla haijasikilizwa, na wahanga wa ubakaji wengine nao kesi zao hazisikilizwi haraka hivyo sababu hawakurekodiwa video na kurushwa ktk social medias!!
What is your pointHaki imepatikana kwa waharifu,......Binti kama alikua anajiuza aache,kama alikua anatembea na waume wa za watu,inabidi atubu,.........atakuja BOYA mmoja WA generation Z kumvisha Pete huku akibubujikwa na machozi,Binti aliyefir.rw.a vilivyo
C.C Natafuta Ajira