NRNE!Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Oooh sahv no ICC na sio NRNE Tena?Bila kufungua kesi mahakama ya ICC watanzania tutakuwa wajinga. Hapa ndio mahali pa kujenga heshima ya kudumu. Ushahidi wa kutosha.
Wewe ulichukua hatua gani kwanza?Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Waliochomewa nakuibiwa Mali zao hamzungumzii kabisa!!Pole sana sana. Walikuwa wanaacha maiti kwa makusudi ili kutisha watu. Ni utamaduni wa kiarabu huo ndiyo makatili namna hii.
Hata mimi nimejiuliza. Sana hili swali, labda walikuwa na sare kama zao.Bado najiuliza JWTZ hawakuweza kuwashoot hao wahuni wa museven UPDF
Walikuwa wafuasi au viongozi wa CCM kilichotekea ni haki yaoWaliochomewa nakuibiwa Mali zao hamzungumzii kabisa!!
Na waliouawa je?Walikuwa wafuasi au viongozi wa CCM kilichotekea ni haki yao
Kwani Mbowe alichomewa?Waliochomewa nakuibiwa Mali zao hamzungumzii kabisa!!
Hahahahahaha unamuwaza sana Mbowe mzee mbona aliwaachia uwanja mfanye mliyoahidi? Mwache mzee asake shekeli nyie pambaneni na NRNE!!Kwani Mbowe alichomewa?
Wauaji walikuwa polisi wameonekana live, tena mida ya usiku. Hizo habari sijui za mseven ni kukwepesha tu na kuwachanganya watu. Na walikuwa wamejiandaa kwa zaidi ya miezi miwili, kwa kila kitu.Hata mimi nimejiuliza. Sana hili swali, labda walikuwa na sare kama zao.
Asake au ale alizohongwa na Samia? Yaani kuandoka kwa Mbowe kumeleta impact kubwa sana tena kwa muda mfupi sana. Angekuwepo ungekuta bado tunazungusha ngumi huku akiwa akimepewa wabunge 10 ili ale ruzuku.Hahahahahaha unamuwaza sana Mbowe mzee mbona aliwaachia uwanja mfanye mliyoahidi? Mwache mzee asake shekeli nyie pambaneni na NRNE!!
Matusi yako yanaonyesha kombora limeingia kupitia backdoor. A traitor is just a traitor. Let him be ashamed, because he was using the youth—some even lost their lives—yet it turns out he was just a puppet of the government. The blood of Soka will cry out against him, even to his grandchildrenMna fitina Kama malaya wa Kimboka mbwa kabisa pambaneni na hii damage mmepata shwaini wakubwa!
Mmeua watu kwa tamaa zenu!! Mlikua mnahubiri NRNE kumbe nyuma mnapanga maangamizi dhidi ya biashara na mali Za wenzenu! Mlikua mnajitapa kabisa humu nani wa kwenda kumchomea mali na kupora!! Washenzi of its highest order!! Mmedharaulika sana sana!!Matusi yako yanaonyesha kombora limeingia kupitia backdoor. A traitor is just a traitor. Let him be ashamed, because he was using the youth—some even lost their lives—yet it turns out he was just a puppet of the government. The blood of Soka will cry out against him, even to his grandchildren
Bora mliokuwa hamzioni aisee! Niliweweseka mimi sikuweza kulala. Hadi nilijuta kuziona🙆♂️🙆♂️Leo ndio nmefanikiwa kuona baadhi ya video, nmeumia sana 💔
It was satan Samia who killed innocent young men and women — nothing else explains it. Shame on her; she will end up in hell (and I mean an earthly hell). The traitor Mbowe will meet his end too — he has dug his own grave. Idiot!Mmeua watu kwa tamaa zenu!! Mlikua mnahubiri NRNE kumbe nyuma mnapanga maangamizi dhidi ya biashara na mali Za wenzenu! Mlikua mnajitapa kabisa humu nani wa kwenda kumchomea mali na kupora!! Washenzi of its highest order!! Mmedharaulika sana sana!!