Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Wote ni wale wale tuuu, skuingine wananchi wasikubali kuandamana, watulie kabisa JWTZ vigeugeu Leo Kwa wananchi kesho Kwa mama, hawana maana yoyote, HATUNA JESHI,Bado najiuliza JWTZ hawakuweza kuwashoot hao wahuni wa museven UPDF
Kwamba maandamano ya fujo yanazuiliwa kwa kufyatua risasi ovyo ovyo tena mpaka kwa wengine wasiohusika bali ni wapita njia tu?Kuharibu Mali za watu munaita maandamano, siku ya pili mukiambiwa mtaxhanganya na za kwenu
Inasikitisha sana mkuu sijui tunaelekea wapi ila tulipo kwa sasa ni kubaya mno.Sidhani kma kuna mtanzania ambaye hajaumizwa na hizi video zinazoonesha vijana wetu wakiwa wamekatishwa uhai wao, labda mafwele na samia mwenyewe
Naamini kabisa hata wale machawa kindaki ndaki lazima wataanza kumchukia sana samia kwa huu ushetani alioufanya.
Vampire must go.Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo.
Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni mpaka tarehe 02 asubuhi yani jana. Hata wale waliojipa jukumu la kuzurura mitaani na magari yao walikuwa wakizopita bila kujali chochote.
Usiombe kuona niliyoyashuhudia. Nimeshuhudia wenye silaha wakipita na kufyatulia watu risasi bila kuwasemesha wala kuwahoji. Nimeshuhudia na nimeona watu wakianguka baada ya kupigwa risasi huku wakiwa hawajui kuwa walikuwa wamekwisha fyatuliwa. Yupo mmoja wakati anakimbia alihamaki "Nasikia baridi kiunoni" huku akiendelea kukimbia kabla ya kuangua hatua mbili tu mbele alizopiga. Ilikuwa ni risasi iliyofuatiwa na kuloa damu!
Mbaya zaidi nimeona maiti zikioza huku nikiwa sina jinsi zaidi ya kupishana nazo pale ninapotoka na kuingia. Najiuliza ilikuwaje sipati jibu. Najiuliza ni kwasababu gani napo pia sipati jibu.
Hali hii inahitaji uchunguzi maana tuliyoyaona yanatisha!
Kuna usugu fulani unatengenezwa kwa watanzania ambao utakuja kuwapa shida watawala wa mbeleni huko..Inasikitisha sana mkuu sijui tunaelekea wapi ila tulipo kwa sasa ni kubaya mno.
Sasa kwa akili zako za chooni, kwa haya mauaji mliyofanya na kuumiza maelfu ya familia za watu na ndio mnaona mmeleta amani?Amani,usalama na JMT ni vitu visivyo na mbadala!! Kumbe NRNE ilimaanisha ule uhuni tulioushuhudia? Hivi zingechomwa zile tankers pale kurasini ndo mngepata nini? Haki sikuwahi fikiri mmebeba agenda za kihalifu namna hii 🙌🙌🙌🙌🙌
Kwa hiyo hizo sheli ndio zina thamani sawa na uhai wa binadamu zaidi ya 3,000 sio?Waliochomewa nakuibiwa Mali zao hamzungumzii kabisa!!
Da Mange kawachocha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo hizo sheli ndio zina thamani sawa na uhai wa binadamu zaidi ya 3,000 sio?
Kwamba kila aliyeuawa alikuwa anataka kuharibu mali za watu?
Kwa hiyo hata yule mama aliyekuwa anatoka clinic na mwanaye pale tabata relini alikuwa anataka kuchoma sheli sio?
Nyie mashetani hii dhambi lazima muilipe tena hapa hapa duniani.
hao wajeda ni wapuuzi sana. Yaani walituaminisha siku ya kwanza kuwa wapo na sisi, siku ya 3 wakaanza kuua raia! Kmmk zao. Ila namshukuru mjeda mmoja alinisaidia ile siku ya kwanza! Nilikuwa nakufa ile siku! Nilikuwa nimeganda kama barafu baada ya kumuona dogo mmoja aliyepokea risasi kama mbili kwenye mbavu zake akiwa amelala mita kadhaa mbele yangu! Isingekuwa yule mjeda kuja kuniamsha na wakazuia polisccm wasifyatue risasi, nahisi ningedanja!! maana polisiccm walikuwa wanafyatua shaba hovyo hovyo na bado wanakuja nyuma na marungu na mipini!!!Sasa hivi nimejikuta nalichukia jeshi letu kuliko hata mshetani ya ccm.
Hatuna jeshi tuna uchafu tu ambao upo kwa ajili ya kuwalinda wadhalimu
Aisee ashukuruwe Mungu kwa kumtumia yule mjeda kulinda uhai wako.hao wajeda ni wapuuzi sana. Yaani walituaminisha siku ya kwanza kuwa wapo na sisi, siku ya 3 wakaanza kuua raia! Kmmk zao. Ila namshukuru mjeda mmoja alinisaidia ile siku ya kwanza! Nilikuwa nakufa ile siku! Nilikuwa nimeganda kama barafu baada ya kumuona dogo mmoja aliyepokea risasi kama mbili kwenye mbavu zake akiwa amelala mita kadhaa mbele yangu! Isingekuwa yule mjeda kuja kuniamsha na wakazuia polisccm wasifyatue risasi, nahisi ningedanja!! maana polisiccm walikuwa wanafyatua shaba hovyo hovyo na bado wanakuja nyuma na marungu na mipini!!!
Shetani mkubwa wewe, mmezoea kumwaga damu za watu. Kinachokuchekesha nini sasa hapo?Da Mange kawachocha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kupora na kuchoma mali mlikua mkifurahia humuShetani mkubwa wewe, mmezoea kumwaga damu za watu. Kinachokuchekesha nini sasa hapo?
Mtu mwenye ubinadamu hata chembe, hawezi kuwa na hali ya furaha kwa namna yoyote ile kwa hiki kilichofanywa na serikali ya dhalimu samia siku nne zilizopita.
Mbowe ndiye basha wako ?Hahahahahaha unamuwaza sana Mbowe mzee mbona aliwaachia uwanja mfanye mliyoahidi? Mwache mzee asake shekeli nyie pambaneni na NRNE!!
Usizana uko salama broo mbona hata wewe unatafutwa sababu revenge inakuja kwenu ngoja watu watulie tuanze kuuwa makada wa CCM,Wabunge, na MadiwaniAcheni vihabari vya kutunga tunga na kuongea uongo wenu hapa baada ya kushindwa kwa nia zenu ovu za kuleta machafuko hapa Nchini
Waliochomewa na kuibiwa mali zao wako aina mbili. Kuna ambao walikuwa machawa wa mboga mboga na wengine hawakuwa na hatia.Waliochomewa nakuibiwa Mali zao hamzungumzii kabisa!!
Dharau mlioonesha kwa Watanzania wenzenu hizo ndio faida zake. Unatamba ukiwa na wanyonyaji na waporaji haki ilihali wanunuzi wa biashara yako ni watanzania wenzio.Mmeua watu kwa tamaa zenu!! Mlikua mnahubiri NRNE kumbe nyuma mnapanga maangamizi dhidi ya biashara na mali Za wenzenu! Mlikua mnajitapa kabisa humu nani wa kwenda kumchomea mali na kupora!! Washenzi of its highest order!! Mmedharaulika sana sana!!
Ulishawahi kuona bhakresa anafanyiwa fujo? Umeshajiuliza ni kwanini hata katika hizo vurugu hakuna asset ya bhakressa iliyoguswa.Siasa ya ujamaa imetukaa kwenye mafuvu haswa na haswa tqjiri hatumpendi pale Kigamboni fuel depot kuna mali mpaka za Aliko Dangote.