Kama alivyoachwa aongee yote ayatakayo, aachwe, Wananchi waelezwe na kuelimishwa umhimu wa kuepukana na mtu ambaye anataka maisha ya wengi na watu ambao wanajaribu kujenga nchi Yao,watu ambao hawajawahi kushuhudia vita vya wenyewe Kwa wenyewe, kwamba huyu mtu amejipanga kusababisha vurugu na Kisha yeye kwenda huko anakokujua akaishi na familia yake Kwa Amani huku akichekelea Ujinga wetu wa kukubali kuingizwa kwenye ujinga wa kuuwana Sisi Kwa Sisi
Tuwaepuke na kuwakataa wote wanaohubiri chuki na kujaribu kutugombanisha, kwani kutaka madaraka ni Hadi uwe sababu ya watu wauwane?
Na wanaochoma ofsi za vyama mbalimbali washikishwe adabu ili huo ujinga ukome
Tuwakataeni wote wanajaribu kutugombanisha, hata Akiwa ni JPM
Wote watapita, Tanzania yetu itabaki