Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Ikichomwa ofisi ya CCM wamechoma chadema, ikichomwa ofisi ya chadema wamechoma chadema , lord have mercy
Chadema hawana ubavu wa kuchoma ofisi za CCM, ni watu wazuri sana hawa ndugu zetu
 
Meko lazima atage mwaka huu. Alidhani hakukuwa na haja ya yeye kufanya kampeni kwa sababu amejenga madaraja, kumbe hayo madaraja ndo yanaenda kumhenyesha katika miezi miwili ya kampeni.
 
Mko wangapi watu wenyewe hadi wawaondoe
Rebecca we ni Tomasso ?!. Wanayofanyiwa wapinzani na especially Cdm kwa Tz bara na iliyokuwa Cuf Zanzibar enzi hizo . Ni mambo yasiyovumilika. Kama wewe nafsi inasuuzika wengine mioyo inavuja damu .
 
Rebecca we ni Tomasso ?!. Wanayofanyiwa wapinzani na especially Cdm kwa Tz bara na iliyokuwa Cuf Zanzibar enzi hizo . Ni mambo yasiyovumilika. Kama wewe nafsi inasuuzika wengine mioyo inavuja damu .
Unafahamu mioyo inayovuja damu wewe?
 
Hoja Kama hizo huwa hazijibiwi badala yake yatajaa matusi tu hapa.
 
Since Lissu kaja Tz MaCCM mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa [emoji1787]
*MAFURIKO YALITOKEA TFF KWENDA KUSHANGAA KESI YA MORRISON KISA ALIPANDA JUU YA MPIRA, SEMBUSE MTU ANA RISASI KISOGONI*

Hana mafuriko ... LISSU amnyime Nani usingizi......Watu wanaenda kumshangaa kweli Risasi iwe kwenye UTI wa mgongo utembee....wanamshangaa kushangilia Ushoga....wanamshangaa Risasi 54 Mpaka ya Koo na uongee....Yaani wanashangaa amepigwa Risasi ya Ubungo So wanashangaa Pumba...hata Matonya alipata Watu....Wasanii wanaovua nguo na NYIMBO Kama Chura wanajaza...So kujaza hata Kichaa Kama LISSU atajaza tu.
 
Haya majamaa bwana bado yanambinu za kizamani Sana,Sasa hizi choma chomaa zilikuwaga mbinu za kizamani Sana kipindi hicho waTz bado hawajastuka
 
Kwahiyo kama walijiapiza kwamba CHADEMA haitapata ubunge na udiwani, ndo wakachome Ofisi? Kwani hizo Ofisi ndo zinachagua wabunge na Madiwani. Najua akili zako ni fupi, lakini hebu fikiria na hili basi.
 
Wewe waambie wenzio ujinga ujinga mnaoufanya mwisho wake ni ile siku mtayothubutu kuiba kura, yani mkijaribu kugusa hapo ndio mtajua vizuri nini maana ya nguvu ya umma, kwasasa endeleeni kujichekelesha tu.
Hivi kwa akili yako umekaa unasema kabisa utaibiwa kura!! Ebu Acha huo ujinga kufikilia ..
Magufuli anakwenda kushinda kwa kishindo kikubwa Sana.
 
Wewe acha unyumbu wako wa kutetea ukowadi unafanywa na huyo TUNDU LISU
 
Hivi wewe na hizo akili zako fupi, unashindwa tu kutafakari? CCM wachome Ofisi za Chadema ili iweje? Kwamba ndo watapata kura? Lakini ukirudi upande wa pili unaona kabisa kwamba wanachoma Ofisi zao ili kutafuta huruma ya wananchi ionekane wanaonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…