Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

Mali aliyokupa na unayostahili ni elimu pekee, huna unachodai tena mzee.. kwani ulitafuta nae? Sheria inamtambua mke tu na mtoto chini ya umri wa miaka 18. Kwa umri wako wewe ni Mzee sasa. Nakushauri achana na hiyo mambo jombaa...
 
Mi namshauri baba yake amfanye huyu jamaa kuwa ndondocha ili aingize hela zaidi
 
Mimi nina miaka 67 na baby 97. Sijawahi kumwuliza au kumtaka anigawie mall zake . Namshukuru alinilea na kunisomesha mpaka darasa la 12. Baada ya hapa niliingia mtaani. Kwa sasa nampelekea 100000 kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapoamua .ni yupi atamchukua. NAKUSHANGAA HIYO NYUMBA ULIMSAIDIA VIPI KUIJENGA MPAKA AKUGAWIE PESA? NDIO MAAANA VIJANA WENGI WANAUA WAZAZI AU KUWAOMBEA VIFO.
 
Hapana mkuu sijaoa bado, ndio nategemea nikipata ela kwenye hii issue ya nyumba ilio uzwa niweze kuoa na kufungua biashara
Wewe umeshaa feli,jutu zima unalilia pesa za Baba yako! Tafuta zakwako acha ubwege
 
Mimi nina miaka 67 na baby 97. Sijawahi kumwuliza au kumtaka anigawie mall zake . Namshukuru alinilea na kunisomesha mpaka darasa la 12. Baada ya hapa niliingia mtaani. Kwa sasa nampelekea 100000 kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapoamua .ni yupi atamchukua. NAKUSHANGAA HIYO NYUMBA ULIMSAIDIA VIPI KUIJENGA MPAKA AKUGAWIE PESA? NDIO MAAANA VIJANA WENGI WANAUA WAZAZI AU KUWAOMBEA VIFO.
 
Kwanza bando la kufika huku umelitoa wap au mtendaji wa kata kakufadhiri ili uje kutupima akili na utu uzima wetu?
 
samahani,
Kwa ufupi wewe jamaa huko serious kabisa. Kwa umri huo bado unamtegemea babako kweli. Kibaya zaidi umeanika na elimu yako, khaaa. Ningekuwa karibu ningekulamba makofi, nyie ndo mnatufanya tuonekane wanaume suruali huku mtaani.
 
Mzazi kumpatoa mtoto mali yake ni suala la hiyari na si lazima, hiyo haipo kisheria kwamba cha mzazi lazima kuwe na mgao wako. Tafuta zako, kama alivyotafuta zake. Hata ukishtaki unapoteza muda tu, ni hiyari ya mtu hiyo
Ipo kisheria kabisa. Refer kesi ya K Lyin na watoto wa Mengi
 
ila naskia sheria inakataza kutokumpa mtoto maali
Nisikilize.

Sheria ya kumtaka mzazi ampe mtoto wake urithi ipo isipokua haijaelekeza kiasi cha kugewa. We si umeona watoto wa Mengi na mama yao K Lyn?

Mimi ni messenger wa ofisi ya mawakili kama una mpunga tuma kabisa laki 2 ya kuwalainisha hawa mawakili ila wakubali kukusikiliza.
 
Ndio mana matukio ya watoto kuua wazaz wao ili warithi mali yame kuwa mengi ni kutokana na vijana kama wewe

Huna haki yoyote kwenye iyo nyumba, moja Usha kuwa mkubwa sana, pili mali nizake kwaiyo kukupa au kuto kupa ni maamuzi yake

Anayo haki Ata kukufukuza hapo unapo lala sio kwako ni kwake wewe Usha kuwa mtu mzima Tafuta kwako.
 
Ipo kisheria kabisa. Refer kesi ya K Lyin na watoto wa Mengi
Ile ni mirathi na hiyo si mirathi usifananishe, na waliandikiwa wosia na Mengi yaani kakubali kuwapa kwa hiyari yake. Si kilazima unavyofanya wewe
 
Una uhakika gani kuwa huyo ni baba yako mzazi?....hebu muulize mama yako vizuri..mimi ni mjumbe kwenye hiyo ofisi ya kata nilimsikia huyo mzee anasema amejitolea kukulea tu ila wewe sio mzazi wake
 
Ile ni mirathi na hiyo si mirathi usifananishe, na waliandikiwa wosia na Mengi yaani kakubali kuwapa kwa hiyari yake. Si kilazima unavyofanya wewe
Inaelekeza mzazi kumuachia mtoto urithi ila haielekezi ni kiasi gani
 
Miaka 42 una mke bado unalilia mali ya baba??.uyo mwanamke nae bado anakuvumilia tu
Hawa ndio wale wanaoua wazazi wao kwasababu ya mali walizochuma wazazi wao kwa jasho na damu. Kwani mali ya baba yako ni yako? Ni hiari ya mzazi kukupa au asikupe
 
Duh ndomana kuna watu wanaishia kuwatoa uhai wazazi wao!
Cheki huyu 42 lkn anakomalia mali ya mzazi wake

Ova
yani mzee inabidi ahame nyumbani manake huyu jamaa anaweza kumuua au alale na bastola yani mtu ana 42 bado analilia ulithi sasa yeye sijui atalisisha nini watoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…