Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

PXL_20241204_165138873.jpg

Umri umetuponza..
 
Vyeti vipo shida umri 35 nafanya kazi ya kijinga sana nimeishia form six kama mbowe.maisha magumu jamani nipeni makonekisheni hata ya kufua nguo zenu nipate kula
 
Sijaona nafasi ziko ngapi!
Mpaka wanatangaza huenda nafasi zilishajazwa muda!
Kila la kheri kwa waombaji!
 
Mie nimejaribu ku register kupitia website yako ila kila niki login sioni maelekezo yoyote. Ni kwangu tu au kuna mtu kapata changamoto kama yangu
hata mi nimejaribu sana ku login ila baada ya hapo sioni kitu
 
Back
Top Bottom