Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kama wanawake wanawaekea wanaume standard ys financial stability, mimi sioni ubaya na wanaume wakiwawekea wanawake standard ya bikira, umri mdogo n.kOa single mama kama na wewe ni single dad, that's it.
Hizi ndoa mnaingia 0-0 ila changamoto zake ni balaa, ukiingia 0-1 si ndio unaongeza matatizo mkuu.
Kuna mambo tuwaambie vijana ukweli tu.
Y???Issue ya trump ndio hapo sasa, ila huo umri kuwa na binti mdogo ata kama ni 20s sio sawa
Muwazalishe muwaache halafu waolewe na wengine. Umemzalisha mwanamke oa wewe mwenyewe sio kuwasakizia wengine na kuwaita waoga, wewe ambae sio muoga kwanini hakumuoa huyo mzazi mwenzako?Madogo ni waoga mpaka wanaamua kupendana na kubutuana wenyewe kwa wenyewe ,kwa sababu wameshawaogopa wanawake
Bwashee single maza tuachieni sisi, hao ambao sio single maza mbona tumewaachia kiroho safi?Kama wanawake wanawaekea wanaume standard ys financial stability, mimi sioni ubaya na wanaume wakiwawekea wanawake standard ya bikira, umri mdogo n.k
Hsts ukirudi nyuma utaona hiyo ndio bargaining iliyokua inatumika wakati wa kuoa.
The original deal of marriage was a loyal and virgin woman in exchange of lifetime provision and protection from a man.
Muongo mi Nina miaka iyo na Nina mtoto na Nina upendoDuuh ya kweli haya? Au uzushi?
Umeongea kwa kufoka sana , tulia kwanza.Muwazalishe muwaache halafu waolewe na wengine. Umemzalisha mwanamke oa wewe mwenyewe sio kuwasakizia wengine na kuwaita waoga, wewe ambae sio muoga kwanini hakumuoa huyo mzazi mwenzako?
TumewaachiaBwashee single maza tuachieni sisi, hao ambao sio single maza mbona tumewaachia kiroho safi?
😊😊😊safiTumewaachia
Hao wanaume wa hivyo wapo Jamii Forum tu, mitaani ni tofauti,Huko mbeleni tutakuja kuwa na wanaume dhaifu sana na waoga kwa hizi kampeni za kipuuzi zinazoendelea mtandaoni. Kwa mfano;
1. Usioe mwaname mwenye miaka 30+
2. Usioe single mother
3. Usile wanga
4. Kula mara moja kwa siku
5. Usipeleke mtoto advance
Naunga mkono hojaHao wanaume wa hivyo wapo Jamii Forum tu, mitaani ni tofauti,
Ndoa zinafungwa kama njugu kuanzia 30s na kuendelea, single moms wanaolewa kama kawaaa, wasio na bikra ndo usisemeee,
Kiufupi wanaume wengi waliopo jamii forum wanatatizo la ukata, wengi wamemaliza vyuo ajira hawana, wanahasira, hawajiamini, wana hofu matokeo yake wanatafuta jamii nyonge na dhaifu kutapika nyongo zao ili wajisikie afueni.
Nafikiri point ya mtoa uzi ni hii, Yani anawaza mdada tangu amefika miaka 18 hadi 30, tena wengine unakuta wana muonekano mzuri tu shepu Hilo, inakuaje hajapata mwanaume hata mmoja serious wa kumuoa, mtoa mada anawaza unaeza kuta mdada ana mapungufu makubwa ya kitabia yanayofanya wanaume wamkimbie SeranWanaume wawili watatu ndio walete hast generalizations zao hapa? Umekutana na shetani mwenzio basi pole yako sio uanze kuhubiria watu wanawake wote wapo hivi bla bla bla! Nyie mnajua sisi mambo tunayokumbana nayo😅 basi niishie hapa..
Kwanza sio kweli hizi kampeni zipo jf tu. Jaribu kupita kwenye platforms zingine chunguza maadhui yanayohusu single mother utaona wanapigwa vita sanaHao wanaume wa hivyo wapo Jamii Forum tu, mitaani ni tofauti,
Ndoa zinafungwa kama njugu kuanzia 30s na kuendelea, single moms wanaolewa kama kawaaa, wasio na bikra ndo usisemeee,
Kiufupi wanaume wengi waliopo jamii forum wanatatizo la ukata, wengi wamemaliza vyuo ajira hawana, wanahasira, hawajiamini, wana hofu matokeo yake wanatafuta jamii nyonge na dhaifu kutapika nyongo zao ili wajisikie afueni.
Wanawake wa hovyo wako wengi sana kuliko wanawake wa maana, ungekua mwanaume kwa mwaka mmoja tu kwenye hii tasnia ya mapenzi huenda ungenielewa, hata wadada ambao ni bikra,na ambao sio single mothers, wengi nao ni vichefuchefu SeranDuhh kwani nyie mnakutana na wanawake wa aina gani jamni na ni wapi huko? Am surrounded by very well centered independent women and have strong self assurance who understand themselves! Sijawahi ona hizo story mnaleteana humu daily! Mnawatoa wapi?? Mtu ajidhalilishe kisa ana mtoto? Unajua kulala na watu hovyo ni tabia ya mtu? Where exactly do guys meet ur spouses🤔 mnashangaza sana!
Aah thubutu😁, unaeza kuta uyo seran mwenyewe au Dr mariposa kimoyomoyo hawatopenda ndugu zao wa kiume au watoto wao wa kiume wawaoe single mothers.. ni vile tu moyo wa mtu ni kichaka Natafuta AjiraUngeachana na hao wanaume ambao hawawataki single mother, badala yake nguvu unayotumia ungeitumia kuwashauri kaka zako na mtoto wako wa kiume(kama unae) wawaoe hao single mothers
Speaking of Moyo wa mtu ni kichaka,Aah thubutu😁, unaeza kuta uyo seran mwenyewe au Dr mariposa kimoyomoyo hawatopenda ndugu zao wa kiume au watoto wao wa kiume wawaoe single mothers.. ni vile tu moyo wa mtu ni kichaka Natafuta Ajira
Nakwambiaje hizi kampeni juu ya single moms ni JF peke yake, unajua kwanini?? humu wengi mnajifanya wasomi ila hela hamna,Kwanza sio kweli hizi kampeni zipo jf tu. Jaribu kupita kwenye platforms zingine chunguza maadhui yanayohusu single mother utaona wanapigwa vita sana
Vikevile mabadiliko hayawezekani kuonekana kwa siku moja mkuu. Takribani miongo mitatu tangia kuanza kuenezwa kwa feminism ilichangia sana kudhoofisha fikra za wanaume na kukubali kushusha standards zetu.
Ukicheki ni kama miaka mwili tu kumekua na wimbi kubwa la hizi harakati za redpill. Kusema damage ikiyofanyika kwa miongo mitatu iondolewe kwa miaka aa miwili hiyo haiwezekani maana bado kuna masimp wengi sana mtaani. Miaka kama 6 mbele hivi ndio tutaanza kuona matokeo ya hizi kampeni.
Umetoka nje ya point. Hela na suala la single mother ni topic mbili tofauti. Binafsi kwa sasa financially nipo vizuri naweza kuwahudumia mahitaji yenu wote hapo nyumbani wewe, mkeo na watoto wako.Nakwambiaje hizi kampeni juu ya single moms ni JF peke yake, unajua kwanini?? humu wengi mnajifanya wasomi ila hela hamna,
Ukiwa na hela wala huwezi kuwaza habari za single moms, hela inakufanya uwe na positive mind, ukiwa na hela huwezi kuwaza ufanye kampeni za hovyo hovyo akili yako inafocus kwenye maendeleo zaidi, hebu pata ajira halafu uanze kushika hela uone, utakua unajihisi raha raha tu ukiona kitoto/vitoto vya mwanamke umpendae vikikimbizana kwenye garden.
Hahahahahahahahahahahaha eti una hela ya kutulisha mimi na familia yangu hapa sasa ndio umejionesha wewe ni KAPUKU maana ndio maneno yenu hayo ya kujifariji,Umetoka nje ya point. Hela na suala la single mother ni topic mbili tofauti. Binafsi kwa sasa financially nipo vizuri naweza kuwahudumia mahitaji yenu wote hapo nyumbani wewe, mkeo na watoto wako.
Gari ninayotumia gharama yake ya mafuta na service sina uhakika kama utaiweza.
Kabla sijaoa nilishajiapiza siwezi kuoa mwanamke asie bikira let alone single mother. Mke wangu nilikutana nae akiwa bikira.
Siwezi kushauri madogo waoe single mother, hata single mother wenyewe hawawezi kufurahia kaka au watoto wao wa kiume waoe single mother.
Mwanaume anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.
Hahahahahahahahahahahaha eti una hela ya kutulisha mimi na familia yangu hapa sasa ndio umejionesha wewe ni KAPUKU maana ndio maneno yenu hayo ya kujifariji,
Unatumia gari gani tajiri wa ndotoni hebu tuma picha yake ukiambatanisha na bank statement ututetemeshe sie kajamba nani🤣🤣🤣
Nasema hiviiiii, kwanza hujaoa, pili hujawahi kupata mwanamke bikra, tatu huna nyumba wala gari umepanga zako mburahati huko unakuja kutunukisha mijasho yako hapa, kataa hadharani ila moyoni unajua WEWE NI ZAO LA SINGLE MOM
NB: Ukituma picha ya gari lako la thamani ukiambatanisha na bank statement andika na kikaratasi mariposa, nitakuja hapa kukuomba msamaha nikiwa live kwenye video 😂