Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Na hakuna aliyebisha
Ila Tanzania haimilikiwi na Nyerere, eti tusifanye vitu ambavyo hakufanya. Ardhi yetu tutajenga tunachotaka
Ardhi yako ni ipi?

TZ siyo mali ya Nyerere kwasababu hata yeye hakutaka iwe yake.

Angeweza kuifanya iwe yake, na hakuna kitu ungefanya.
 
Ardhi yako ni ipi?

TZ siyo mali ya Nyerere kwasababu hata yeye hakutaka iwe yake.

Angeweza kuifanya iwe yake, na hakuna kitu ungefanya.
But hakufanya hivyo, kwa hiyo Tanzania haimilikiwi na yeye. Simple
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Mbona wanakimbilia huku Afrika kuja kuuza mahindi ya kuchoma na madafu barabarani
Punguza kukaa vijiwe vya gahawa.

Mchaga kutoka Marangu kwenda Sumbawanga siyo kwamba kakimbia kwao.
 
Amka UTAJINYEA.
 
Wao ndio uhubiri hayo mambo.
mpimbwe aliniuliza swali kuhusu msingi wa utawala bora ni upi au ukoje. Ndio nikamwambia akawaulize CHADEMA
Kwahiyo na wewe huijui?

Sheria hazishiki bunduki, hulindwa na watu.

Unaweza kuwa na sheria na katiba bora sana lakini mtawala muovu asiiheshimu.
 

Hakuna mtu anae mponda Nyerere, ila tunapinga Baadhi ya Sera zake.

Ukiwa Raisi, unaweza patia Sera za Afya, ukakosea za Elimu, ukapatia Ujenzi ukakosea madini..

Mambo ndo yako hivo.
 

"Tunachukua Mazuri,,,,Ya Kijinga Tunayaacha..Lazima Yaachwe"​
 
Hakuna mtu anae mponda Nyerere, ila tunapinga Baadhi ya Sera zake.

Ukiwa Raisi, unaweza patia Sera za Afya, ukakosea za Elimu, ukapatia Ujenzi ukakosea madini..

Mambo ndo yako hivo.
Yes hili ndo huwa tunaliongea kila siku kuwa kuna mambo kila binadamu anakosea. Yanatakiwa yabainishwe kwa uwazi. Kwa mfano rais Nyerere alikuwa wa kwanza kukubali makosa yake akawaomba waTz tusonge mbele tena akiwa hai. The same to mwinyi moka akajiuzulu, Mkapa the same. Sina shida na mtu kukosea Nina shida na watu kusema Nyerere amekosea bila kutaja makosa yake. Hapa kuna watu wengine wanamchukia Nyerere just kwa akili ya mapinduzi. Lakini hawamkosoi kwa ajiki ya mchango wa uhuru Namibia, S A , Mozambique, Angola na Africa kwa ujumla Sasa unawaza hapa Znz kuna nini?
Unakuta kuna Sultan na uislam. Hawahawa wanaosema mapinduzi yalikuwa matukufu na Karume alikubalinMuungano leo wanamsema Nyerere.
Yaani Nyerere angalikuwa hai kuyashuhudia haya angejua roho za hawa jamaa zetu zikoje.
Ungrateful kbsaa
 
Nyerere ndiye chanzo hasa cha umaskini wa waTz
Nakubali na hii imetika na roho na Nia nzuri yake ya kutoa rasil8mali za Tanganyika kwa ajili ya kuipatia uhuru Zanzibar, Angola, Namibia, Zimbabwe na kwengineko.
Inatakiwa ukiweka hoja uweke na sababu inakuwa imekaa vizuri zaidi
 
Unamhusisha Nyerere na jambo la kipuuzi sana kama ulivyo mwenyewe.

Alikueleza kuwa hakujenga kwa vile tu alikuwa ni mwenyeji wa huko?
 
Nakubali na hii imetika na roho na Nia nzuri yake ya kutoa rasil8mali za Tanganyika kwa ajili ya kuipatia uhuru Zanzibar, Angola, Namibia, Zimbabwe na kwengineko.
Inatakiwa ukiweka hoja uweke na sababu inakuwa imekaa vizuri zaidi
Hapana.

Kama nilikuelewa katika mchango wako hapo juu, sioni popote pa kukubali kuwa "Nyerere ndiye chanzo cha umaskini wa Tanzania".

Mtu anayetoa maneno ya aina hiyo ni wazi kabisa nia yake na msukumo wake ni tofauti kabisa na kinachoweza kujadiliwa kama "makosa ya kibinaadam", au yanayotokana na mabadiliko ya muda.

Nyerere hawezi hata siku moja kuwa ndiyo sababu ya Tanzania leo kuwa maskini.
 
Maisha ya mtu kuna mazuri na mabaya. Madhaifu na ubora.
Watu kuponda mabaya au udhaifu wa mtu sio uvivu wa kufikiri au opportunist

Ni kama wewe unayeona mazuri au uhora wa mtu wakuambie huna akili
Kichaa yeyote anao uwezo wa kuponda maisha ya mtu yeyote na kuyafafsiri kuwa mabaya kwa sababu ya hali yake ya kupungukiwa akili; ndicho mnachokifanya hapa.
 
Nakubali ndiyo maana nimeweka sababu ambazo one can argue sababu za umasikini wa Tz. Ktk maandishi na mijadala mingi nimeona watu wakijumuisha hizo sababu. Hata hivyo nimeweka hapo ili akubakibau akatae atoe sababu zake. Hoja yangu ipo ktk kila tunamvyo mlaumu Nyerere tuweke sababu ili hiyo sababu ijadiliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…