Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Umewaza nn leo?
 
Mbona mwanamke wa kawaida kabisa tena mwenye kipato cha kawaida kabisa kama Shishi anafanya hivyo?

Nimekutolea mfano kwa mtu maarufu tu lakini wapo wengi sana anachohitaji kwa mwanaume ni sex satisfaction tu na kubebishwa.
Hebu siku moja mkae chini na hawa wadogo zenu muwafunde, tatizo wanaishi maisha ya zamani, enzi zile mwanaume anaprovide kila kitu...mke Kazi yake ni kuzaa tu.
Hiki ni kizazi kingine, kizazi cha wanawake waliowezeshwa, mahitaji yao yamebadilika....sio tena upande wa kanga🀣
Wanachohitaji wanawake ni mapenzi, someone to rely on.....someone they can trust....mengine yote wanajiweza.
Hivi tuchukulie mahitaji ya Mh Samia Kwa mumewe ni Sawa na ya wanawake wengine WA umri wake wa Karne iliyopita? Eti akae barazani amsubiri mume arudi na kipande cha samaki?
Waambieni Zama zimebadilika, Jana si Leo....warudisheni jandoni, la sivyo vilio vitaendelea kila siku....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…