Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

Wala issue sio maex, issue ni muhusika mwenyewe, maana watu wanamtreat mtu kulingana na anavyojiweka.

Mtu umeolewa, ila ukiombwa namba na wanaume wengine ambao hawana cha maana zaidi ya kutaka kukutongoza, unawapa. Akili ipo kweli??

Upo kwenye mahusiano na mwanaume wako ambae yuko serious na we, ila kutwa huishi kugawa namba huko njiani? Akili ipo kweli?
 
β€Škama Half american bado hajaleta mahari, nipo tayari kutuma mshenga aniwakilishe aisee,waelekeze wenzio hakunaga urafiki na x otherwise unawashwa nyapu
 
Ndicho nisemacho....macho mawilimawili
 
Bora Puli, au sio mdogo angu dronedrake
 
Njoo umuone Ex nyumba inabomolewa🀣🀣🀣
Mie niseme ukweli namba ya ex nnayo, nikikwama ananisupport....who knows tomorrow? πŸ€ΈπŸΏβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…