Ogopa sana mtu wa namna hii, tena kimbia!

niko 100% loyal kwa BabyCare

Nakupenda bidhaa ya Mamujee 😘 😘 😘 😘
Wewe unatafuta ukhanisi kwa bidii kubwa, make sure maisha yako yote utaishia kupiga punyeto tu, lakini ukija kutamani wanawake baadaye utaahibika.
 
mfano mdogo umesomea mambo yako ya uchumi alafu Ex wako labda alikuzidi miaka 5 mda huo ameajiliwa bank flan akikupigia simu akupe mchongo wa kazi utakataa?

au unajua X ni mkuu wa NGO flani na unataka omba kazi hauwezi mtafuta?
 
mfano mdogo umesomea mambo yako ya uchumi alafu Ex wako labda alikuzidi miaka 5 mda huo ameajiliwa bank flan akikupigia simu akupe mchongo wa kazi utakataa?

au unajua X ni mkuu wa NGO flani na unataka omba kazi hauwezi mtafuta?
Hakuna atakayezikwa na pesa mkuu....aliyeshindwa nithamini simpi thamani hata aweje
 
Acha tu ni shida tupu nakupa Siri hii ukiwa na memzi mfiche hata nzi hajui utaenjoy sana,maana ukionyesha ataibiwa na mashoga zako seriously
Ha ha ha,wamwibe tu kama anaibika ni shida yake
 
Pesa haitoacha kutudhalilisha kamwe...
Hata tufanye kipi pesa isipokudhalilisha wewae,itamdhalilisha mwengine
Kama hawa wa mikopo ya kausha damu ndio wanagongwa kishenzi wapate pesa za marejesho ya kila siku.

Halafu mkopo wenyewe wananunulia vijora na kutunzana kwenye birthday na shughuri zisizoisha uswahilini.
 
kabisa sikuhizi utasikia mwanangu nenda kwa mjomba flan ukafanya interview nishaongea nae hauwezi jua labda huyo mjomba ni Ex wa mama hahaha ila waliachana kwa mema.
Ha ha ha, kumbe
 

Hakunaga friendship na ex hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…