GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Oktoja 29 utafanya nini?

  • Nitatiki

    Votes: 16 6.9%
  • Nitatoka

    Votes: 215 93.1%

  • Total voters
    231
  • Poll closed .
2
 
 
Changamoto za afya za akili zipo wazi wazi.Ujinga ni kama moshi haufichiki.
 
2
 
uhalisia wa jamii forum lakini kwa uhalisia wa nje ni tofauti, hapa ukianzisha kura ya oct 29 tuandamane au tusiandamane..kwenye mitandao jibu litakua tuandamane lakini uhalisia utakua tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…