Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

Ulevi sio mzuri kabisa
Screenshot_20260120-195033~2.jpg
 
kama ni kichwa panzi utalewa week Moja

Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
Bia ina 4.6% Alcohol unasema unakunywa unalewa?!😆😆

Je ungekunywa Beithir Fire? Ungesemaje? Hii ndiyo bia ina 75% alcohol na ndiyo kali kuliko zote duniani na inakuja na Warning label kabisa kuwa kama wewe ni kichwa panzi kaa nayo mbali.

images (1) (2).jpeg

images (1) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom