🙏🙏😁play smart lol
achana nae alf ni mams sio jamaa😄nimeshindwa kumuelewa jamaa
💃 jiooooni twenzetu tukapunge upepo wa bahari shooo
si ndioo, unaweza kuokota🤭🤣🤣 ya Mungu mengiaaah kumbe ni mams looh
You will pay the bill😁💃 jiooooni twenzetu tukapunge upepo wa bahari shooo
Unaniharibia diha😁achana nae alf ni mams sio jamaa😄
toka lini watoto wa kishua mkataka kulipiwa bill😆😆You will pay the bill😁
nakuharibia wapi sasa,, nataka uokote😂Unaniharibia diha😁
Mie wa kishua hii nayo mpya😁🙌toka lini watoto wa kishua mkataka kulipiwa bill😆😆
Mambo ya kuchezeana et😁nakuharibia wapi sasa,, nataka uokote😂
Bado hata ungekunywa 24 haukupaswa kulewa. Hizo ni juice tuNilitia 15+
Bwashee kumbe na wewe ni wanachamaBado hatab ngekunywa 24 haukupaswa kulewa. Hizo ni juice tu
si ndiwoo😅🤭 kusogezeana sikuMambo ya kuchezeana et😁
Bia ya mabingwa nayo hunyweka kibigwa , sema za siku hizi naona kama zina sukari nyingi🤔View attachment 3561077
Bia Bora kabisa Africa Mashariki na Kati
Kwenye uwanja wako 😁Bwashee kumbe na wewe ni wanachama
tukisha jispoil ndo itajulikana nani analipia, kama sijakuacha kuoshe vyombo😂😂😂😂Mie wa kishua hii nayo mpya😁🙌
We acha janja janja lipia