min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Figo lazima ziwe chekechekeKuna yule jamaa anakunywa konyagi, valeur na pombe nyingine kali anagida km maji, hizi bia naona atapiga hata katoni 10
Figo lazima ziwe chekechekeKuna yule jamaa anakunywa konyagi, valeur na pombe nyingine kali anagida km maji, hizi bia naona atapiga hata katoni 10
Mlevi Platnum bia unaita juice?Bwashee hii ni juice ya embe kabisa
😁😁😁Mlevi Platnum bia unaita juice?
Duh,Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii
Kweli wewe ni shindikana🙆♂️Bwashee hii ni juice ya embe kabisa
Chaikama ni kichwa panzi utalewa week Moja
Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
Hapana ni ukweli shindii , mashirima nae anakatabia ka kujifanya mkubwa sana kama wewe shindii😆Unamsinhizia.
Sio anajifanya, bali ni mkubwa.Hapana ni ukweli shindii , mashirima nae anakatabia ka kujifanya mkubwa sana kama wewe shindii😆
Mhmmm shindii , hana ukubwa wowote ni wewe haujui tuSio anajifanya, bali ni mkubwa.
Nipe chimbo
Mashirima ni rafiki yangu sana, najua bwana🤣🤣Mhmmm shindii , hana ukubwa wowote ni wewe haujui tu
Tatizo lako unafikiri ukubwa ni umri tu shindiii😅 mashirima ni kama kitoto cha alfu 2000Mashirima ni rafiki yangu sana, najua bwana🤣🤣
Weeeeh usiniambie!! Nitamuomba darasa🤣Tatizo lako unafikiri ukubwa ni umri tu shindiii😅 mashirima ni kama kitoto cha alfu 2000
Darasa la nini shindii😀😀😀Weeeeh usiniambie!! Nitamuomba darasa🤣
Nitajua mimi na mashirima, we tulia 🤣Darasa la nini shindii😀😀😀
Mwambie tu mashirima nampenda atulie na mimi 😁Nitajua mimi na mashirima, we tulia 🤣