min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Nakunywa mirinda ? Ebu acha matusi basiKwenye uwanja wako 😁
Usikute in real life unakunywa Milinda😁 maana jeyiefu😁
Nakunywa mirinda ? Ebu acha matusi basiKwenye uwanja wako 😁
Usikute in real life unakunywa Milinda😁 maana jeyiefu😁
Nisamehe kaka🙏Nakunywa mirinda ? Ebu acha matusi basi
PoleNisamehe kaka🙏
ShukranPole
Unatumia kilevi?Shukran
Yes natumiaUnatumia kilevi?
Pombe ganiYes natumia
WinePombe gani
Wadada mna vituko , kila mdada wine , hawa wanaokunywa konyogi kama maji ni kina nan🚮Wine
Na huko ahera kwenye mito ya pombe na asali inakuwajeacheni pombe...pombe ni mkojo wa shetani
Sijui ni kina nan haoWadada mna vituko , kila mdada wine , hawa wanaokunywa konyogi kama maji ni kina nan🚮
Kila pombe ina vibe lake , bia brand spirits , whisky , gine na nkSijui ni kina nan hao
Serious konyagi🙌
Mie ni wine au savanna au brutal nimejaribu bia siwez ni chunguKila pombe ina vibe lake , bia brand spirits , whisky , gine na nk
Wine natumia kuchanganyia kwenye spirit kama vodka ili kukata makaliMie ni wine au savanna au brutal nimejaribu bia siwez ni chungu
Kwamba wine kwako ni kichanganyio😁😁😁 umeshindikanaWine natumia kuchanganyia kwenye spirit kama vodka ili kukata makali