Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Wakiwa Bar na Club wanajifanya wanakunywa Savannah,wine,brutal na jamii hiyo ila wakiwa mtaani kwao wanafakamia Safari lager mixer Sungura,keivenga na nyagi.Wadada mna vituko , kila mdada wine , hawa wanaokunywa konyogi kama maji ni kina nan🚮