Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

Ikiwapendeza wale aolewe usiku huu huu wa leo na wale watemi wa selo!!
Duu...halafu dume likibakwa kwa lazima jamaa wana enjoy sn.

Kuna majitu yatafaidi sana week hii humo gerezani..
 
Mteule wa Magu huyu aliyekuwa anafananishwa na waziri mkuu hayati Sokoine!
 
Kumbe kosa la msingi ni hilo la kuomba mpunga tu? Basi wapo wengi sana ni kqa sababu hawajapatikana tu.
 
Yale makosa yanayosemwa sana na Wamachame yako wapi?
 
Kweli walimpania wamempeleka ijumaa mahakamani ili alale mpaka juma tatu au kosa lake halina dhamana.
 
Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?
Wameogopa mafuriko ya watu mahakamani.

Mahakamani ni sehemu ya kutoa haki kwa hiyo ni vizuri amepelekwa huko ili sasa akina Mbowe wawe wanaenda mahakamani kutoa ushahidi juu ya madai yao.
Mbowe asipoenda kutoa ushahidi mahakamani tutajua ni unafiki tu

Hata Mbowe alikaa Segerea kwa miezi nne na madawa ya kulevya yakaisha mtaani

 
Pumbavu
 
Uzuri wapumbavu kama wewe mnelekea kuisha nchi hii. Uovu haulipi na mmoja mmoja mtaendelea kupokea ujira wenu kila mtu kwa wakati wake.
 
Your feelings au sio..
Court is moved by Facts and Evidence..
Subiri tuone...unalinganisha visivyolingana
 
Was it necessary?
 
Dah jamaa umevurugwa hadi hatua ya mwisho kabisa.

Eti hata Mandela, khaaaaaaaaa usikii haya kufananisha hawa watu wawili? Mandela alikuwa anataka kuwakaza kina Nandi wakienda mkoani kwake kwa nguvu usiku wa manane?

Mbowe kaingiaje hapa? Yeye ndo kamshtaki Sabaya? Ficha utaahira wako mkuu sometimes

Kashtakiwa Arusha sababu kuna makosa kayafanyia Arusha. Kwani unadhani ndo mambo yameisha mkuu? We subiri ataenda na kushtakiwa Hai wala usiwe na shaka. Mbona mambo ndo yanaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…