Ole Sabaya: Hai iliendeshwa kihuni sana, mimi nimekuwa mwarobaini

Ile ya kutengeneza?
Wewe hata unachotete hujui , Huyo sabaya anatuhuma za criminal nyingi ,yeye aliamini katika kwenye kufanya kazi kwa visasi Kama ilivyokua hulka ya mwendazake ndo tiketi ya kupanda cheo ,vijana wanajitoa Sana ufaham kisa vyeo vya mda tu, Sasa subilin mapigo yatakayokaa juu yenu na familia zenu,
 
Kwani yeye ni mbunge mbadala? ni serikali yake ndio ilikuwa inafanya hivyo kwa vile maendeleo huwa yanafata chama husika!!
 
Tuhuma na uhalisia ni vitu viwili tofauti
 
Endeleeni kutetea ujinga
 
For death or?

Sent using Jamii Forums mobile app


You're asking about death!??? Those of us who clearly understand & accept that death is almost our ultimate destiny down here, don't even stop to give it a second thought. Don't worry, if the LORD does not find you alive soon, you will inevitably join in, in the abode of complete, unconscious silence. Better yet, you don't have to do or avoid doing anything to deserve it. Just go on your normal business, and it will & MUST come to meet you on your way somewhere some day. The only thing I can do as of now (if at all that were possible), is to entreat that the moment be delayed a little longer until later when you're actually ready to face it. What do you think!??? Am I fair enough!???
 
Sabaya.ni Mkuu wa wilaya Kama Kaja na muarobaini wa matatizo ya hai Kwa nini tatizo awe mbowe badala ya mkuu wa wilaya aliyepita?
 
Sabaya ni mfano wa uongozi..tunajua madudu aliyafichua Hai...Hai ilikuwa inaongoza kwa udhlumati wa Ardhi....matajiri walikuwa wanapora wanyonge.
 
Tuanzie hapa Wakuu: Hivi anayeendesha Serikali ni nani? Mbunge au Rais na Watendaji wake? Tukipata jibu hilo, basi mhusika wa kujibu kukithiri kwa hayo yaliyotajwa na Mheshimiwa DC Sabaya atapatikana.
 
Walimsakama sana baada ya JPM kufariki.
Na zikaletwa video za wafanyabiashara wakijidai wanateseka kumbe ndio vinara wa uharamia
 
Waswahili husema " mlango unaopiga kelelee ndio hufanyiwa matengenezo" jamaa anajitanga kwa nguvu kubwa.
Hivi hii nchi ina wilaya ngapi?
Kwanini Sabaya tuu?? Yeye ni nani?
Anadhihirisha alivyo wa hovyo.
 
Tuhuma na uhalisia ni vitu viwili tofauti,mbona wewe unatuhumiwa ni shoga ,tuamini?
Siku zote sipo hapa jibizana na mtu ambae tiyari ana lahana, na niseme mungu akupe red cross KUANZIA mda huu dakika hii na kuendelea imekua, ndo ujue kwamba Sio WATU wotu hum ni wakuropoka kwao
 
Issues za kuchukua wadada na kuwatishia kwa mabastola na kutaka kuwaingilia kinyume... Huyu jamaa huyu... Mungu atatoa hukumu yake siku si nyingi.
 
Polepole, za siku.
Mi naona mazito makubwa zaidi yalikuwa ni ya kuwasingizia wanang'oa mataruma ya reli. Kungine hukowewe na huyo SABAYA mtaishia kuugua homa ya manjano bure, Mbowe hamumuwezi kwa takataka za kuokoteza.
Kwa vile Mama ameshaonyesha kuwa amejengwa na kukulia mazingira ya KUSHIBA, HAKI & UPENDO, kamwe siasa za wenye chuki ya sumu kovu, kutokana na njaa endelevu toka kwao/utotoni, HAZITAKUWA na nafasi.
Marehemu ndie alianza kujenga kizazi hiki cha ajabu sana KILCHOJAA & KURINGIA tabia za ukomoaji kuliko hata shetani mwenyewe.
Kwa kweli wapenda haki, amani na maendeleo ya kweli, twashukuru sana kuwa tumeuona mkono wa Mungu ukitoa pigo takatifu la kuanza kusawazisha mambo ili kuweka mazingira ya kujenga taifa lenye usitawi na upendo.
Bado kitambo kidogo tu nanyi sumu zenu zitakuwa zimeisha kwa kukamuliwa kwa kushuhudia matendo mema, nanyi mtaanza kuwa watu wema machoni pa Mungu mwema.
AMEN
 
Kwakua hili kalisema hadharani mchana kweupee kwenye media ambayo inatazamwa na kusikilizwa na watanzania wengi ,ajitokeze mtanzania hadharani apingane nae kwa takwimu
Mimi nipo Arusha nilikutana na ndugu wa Sabaya,wanasema Sabaya ana laana ya baba yake pia anayo laana ya ukoo mzima.Hajawahi ongea na baba yake mzazi kwa miaka sasa ingawa wapo mkoa mmoja.Hayo yote anayofanya ni laana toka kwa wazazi.Siku zote ogopa gaidi na mtu anayeweza kuwafanyia mabaya wazazi wake.Wewe mtu wa pembeni anaweza kukufanya chochote bila huruma.Mtu wa aina hii ubinadamu hana kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…