Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Monday 13 June 2022
Muscat, Tanzania

Nchi inazidi kufunguka, tulicheleweshwa sana.


Maulana mtukufu Sultani Haitham bin Tarik wa Oman akimkaribisha mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan katika kasri ya Al Alam kwa mazungumzo ya kikazi .
 
Yote ni kwasababu ya janja janja ya CCM ,hawakuwahi kufikiria Mama atakuwa rais, asilaumiwe mama walaumiwe CCM
 
Hahaha mlimpuuza Lissu mpigania rasilimali zetu, mkaendekeza uchama
Unamzungumzia lissu yupi? Rule aliyesema tusipowauzia madini akina Amsterdam tutashitakiwa MIGA?
Unajuwa anaishi wapi?
 
Wabongo tatizo letu wengi ni ushamba umetujaa sana hata hatuelewi kipi kina faida kwetu au hakina
Ni kubisha kila kitu na huo sio akili bali ni kujiweka nyuma kwa kila kitu

Hata hii biashara ya mifugo Somalia wanafanya miaka kibao kupeleka saudia , Emirates na hata Oman
Ila wanajua biashara na hawana ujanja ujanja

Sisi kweli tunaweza kupewa fursa ya kupeleka wanyama au matunda lakini je hivyo viwango nani atakagua?

Nasema hivyo kwa sababu huko nyuma tumepeleka Tumbaku Zimbabwe na matokeo yake hawataki hata kutusikia na waliandika kwenye blogs nyingi duniani
Kweli mnaweka Mapembe ya Ng’ombe na battery zilizokufa na matofali ili kuongeza mzigo uwe mzito

Na hao wakaguzi ndio wanapewa rushwa wavushe mzigo

Tatizo letu kila mahali wizi

Huu uzi muufukue siku zijazo kuhusu hawa domestic animals watapigwa marufuku kwa sababu mtapeleka mpaka wagonjwa na ndio mwisho wa dili la mama
 
Kaka acha akili mgando Kama alikuwa nataka kuiba angetangaza ili iweje
 
Anasemaje🙆?
 
Matayarisho ya wanyama wa Ngorongoro kuwapisha wamasai.
 
Hapa wamelengwa wanyama pori tu,wanyama kama ng'ombe kusafirishwa hai ni kupeleka ajira nje tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…