Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote ni kwasababu ya janja janja ya CCM ,hawakuwahi kufikiria Mama atakuwa rais, asilaumiwe mama walaumiwe CCMMama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Nitajie watu watano tu unaowajua aliyowauwa bwana yule.Bora kwa sasa watu roho zao
zina amani. Bwana Yule angekuwa kaisha tumaliza raia
wote kwa risasi
Makamu mwenyekiti atakuwa amefurahi snAkina Tembo lazima iwe meli
Unamzungumzia lissu yupi? Rule aliyesema tusipowauzia madini akina Amsterdam tutashitakiwa MIGA?Hahaha mlimpuuza Lissu mpigania rasilimali zetu, mkaendekeza uchama
Tundu LisuMakamu mwenyekiti atakuwa amefurahi sn
KinanaTundu Lisu
Watu wanatakiwa kuchangamkia fursa na siyo kulialia tu.Wabongo tumekuwa watu wa kulalamika tu
Kulialia
Ova
Aliyeombwa msamaha na mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mchungaji MsigwaKinana
Kaka acha akili mgando Kama alikuwa nataka kuiba angetangaza ili iwejeyaani apo watakao 'safirishwa' (kuibiwa) ni wild animals kama twiga, faru, tembo, simba & Nyati etc. na wala si domestic animals kitimoto, mbuzi au ng'ombe
UWT sijui wanakwama wapi, yaani wamelala usingizi wa pono wakati mama anaelekea kuihujumu nchi ya Tanganyika tena live kabisaa,
View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini
Matayarisho ya wanyama wa Ngorongoro kuwapisha wamasai.View attachment 2259291

Changamkia fursa achana na kulialiaMtazamo wako ni mwembamba sana katika hili indirectly mbuga inakunufaisha. Serekali inakusanya kodi hapo
Jiwe alipigwa vita na kila mtu mwenye akili timamu.Juhudi zako za kumpamba Mama ili JPM asionekane wa maana hazitazaa matunda! Ulimpiga vita sana JPM tunakujua, sasa ona anavyong'ara
Huyu huyu au? 🙄Kitimoto
Taratibu sasi.... siye wengine waoga... hata Unguja tunasita kwenda😂😂😂tushauzwa kwa waarabu,, nisivyowapenda waarabu mimi