Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

Mwenyekiti wenu hana sauti mbele ya wahafidhina ndani ya ccm
 
Maridhiano yametupiliwa mbali na CCM,

Na Kwakuwa HAKI haiombwi;

Maandamano ya Amani ndo njia pekee ya kuzibua masikio ya Watawala.

Karibu katika maandamano ya Amani Kwa mwamvuli wa PRESS Ili kuzipata hizo HAKI 3 muhimu!!
Mimi nitashiriki maandamano ya Chadema by proxy
P
 
Bahati nzuri au mbaya ni kuwa hatuna watafiti wa kisiasa wanaoweza kufanya tafiti kutambua madhara ya kuendelea na utaratibu wa kutumia katiba hii kwa miaka 30 ijayo!
Je, tutakuwa tumepiga hatua kiasi gani katika siasa na maendeleo kwa wananchi wetu.
Je, tutakuwa tumepoteza kuasi gani.
Mambo mengine ukifikiria sana unajikuta unaona aibu mwenyewe. Hivi ni nani anafaidika kwa kuendelea kukumbatia mifumo mibovu ya utoaji wa haki hapa nchini? Na atafaidika hadi lini ili atosheke?

Yaani viongozi wanatambua mifumo mibovu ya utoaji haki nchini ilivyo hadi wakatoa ulaji kwa watu wengine kwa kuanzishi kitu kinaitwa sijui SAMIA NINI KILE.
 
Mmmh
 
Duh...!. Dingi na Maza ndio walikuwa huko, sisi tumezaliwa watoto 8, we can't be all 8 wote tuwe watoto wa nyoka!, baadhi yetu ni mijusi tuu!. Mimi ni mjusi!. Ningekuwa ni mtu wa huko ningeweza kupandisha mada kama HII kumwambia boss wangu ambaye amepania sana?.
Usiniogope bure, mimi sio wa huko!
P
 
H
awasemagi lakini πŸ˜…πŸ˜‚
 
Sasa sijui kipi kimeshindikana mpaka mambo yamekuwa vile wakaja na miswaada ile isiyo na mbele wala nyuma.

Inawezekana mafisadi wana nguvu sana.
Pengine tafiti zimemkatisha tamaa kufanya mengi kwa sasa na kayasogeza mbele au pengine pia anataka kelele zipigwe na kama alivyozimaliza kwa kumuita Mbowe ikulu wakati ule na hili atalimaliza tu kinyume na matarajio. Mama ni mwanasiasa nae jamani. Mi sijui,umenifikirisha tu.
 
Mkuu ruhi Hiki ulichokisema ni kitu muhimu sana, hatuna kabisa political researchers kabisa hapa Bongo!.

Ile 2010, Tanzania tulikuwa watu milioni 50, wamejiandikisha kupiga kura watu milioni 20, waliojitokeza ni watu milioni 8!, JK akachaguliwa kwa kura milioni 5!, ambayo ni just 10% ya 50 milioni people!.
Hakuna yeyote anayejiuliza!.
P
 
Mwenyekiti wenu hana sauti mbele ya wahafidhina ndani ya ccm
Mwenyekiti lazima aangalie pia maslahi ya wajumbe wake na hali zao. Kuna mambo ukiyaachia unaweza jikuta una mbunge mmoja tena aliyehamia kutoka upinzani. Mama tulinde tu ila kama alivyosema Kaka Pascal,maoni ya wachache pia wawe considered. Tuishi kwa amani kwenye nchi yetu sote.
 
Hakuna Rais hapa. Watanzania amkeni. Mkilala nchi inakwenda kubaki mifupa mitupu. Wamedhamiria kuitafuna haswa
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ’πŸ†’
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸ’πŸ†’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…