Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

HBD Rais Samia!.
P
 
Wanabodi,.

Kwa vile matatizo makubwa ya siasa zetu yako kwenye katiba, tulianza mfumo wa vyama vingi kwa katiba ya chama kimoja, ili kuwatendea haki Watanzania, tunaendelea kumuomba kwa unyenyekevu Rais wetu Samia Suluhu Hassan, aendelee kuliishi jina lake kwa kuleta suluhu ya kweli ya mtanziko wa siasa zetu, kwa kupokea maoni ya wengi, wanaomkubali kwa makubwa na mazuri anayoyafanya, lakini maoni ya wachache wanaotaka tufanye kwanza mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, pia wasikilizwe ili tufanye mabadiliko ya Sheria ziwe ni sheria za haki kwa wote, wengi wape, wachache pia wasikilizwe.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Wewe ukiwa kada wa Ccm msaidie malkia wako.
Mimi ninamsaidia sana kwa ushauri kama huu
P
 
Mimi ninamsaidia sana kwa ushauri kama huu
P

MV5BNTljZDllNDEtODFjZi00Mzc2LWI5ZTItMTAxZjNiNTNlNTM2XkEyXkFqcGc@._V1_.jpg
 
Wanabodi,
!
Hitimisho
Waungwana wanapotaka jambo lao kubwa, wakakaa pamoja kukubaliana, na kukuta wamepewa kidogo tuu ya kile walichotarajia, hawaziri, hawasusi, wala kutaka kupeleka watu barabarani, waungwana, hupokea kidogo walichopata na kuendelea kuomba kikubwa.

Kwa vile matatizo makubwa ya siasa zetu yako kwenye katiba, tulianza mfumo wa vyama vingi kwa katiba ya chama kimoja, ili kuwatendea haki Watanzania, tunaendelea kumuomba kwa unyenyekevu Rais wetu Samia Suluhu Hassan, aendelee kuliishi jina lake kwa kuleta suluhu ya kweli ya mtanziko wa siasa zetu, kwa kupokea maoni ya wengi, wanaomkubali kwa makubwa na mazuri anayoyafanya, lakini maoni ya wachache wanaotaka tufanye kwanza mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, pia wasikilizwe ili tufanye mabadiliko ya Sheria ziwe ni sheria za haki kwa wote, wengi wape, wachache pia wasikilizwe.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Laiti angekuwa msikivu, wala tusingefika hapa tulipofika,
Hizi vurugu za hapa na pale, ni matokeo ya upungufu tuu wa baraka,
Wito kwa Viongozi Wetu, tujenge utamaduni wa kusikiliza ushauri kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao they are nobody's, kama hilo jambo wanaloshauri, ni jambo la kheri na baraka, ambalo lingeepusha shari.

Japo vurugu zenyewe ni virugu za hapa na pale, vurugu hizi ni upepo tuu na utapita, usiku huu, watatulizwa, kesho kutakucha salama uu salmini na tutaaza kupokea matokeo ya uchaguzi, ila tayari wameisha utia doa uchaguzi mkuu wetu na pia kusababisha hasara ya uharibifu wa mali kwa vitu vinavyozuilika.
Mungu Ibariki Tanzania
P.
 
Wanabodi,
katiba ya JMT ya mwaka 1977 bado ni katiba ya chama kimoja!, uwanja wetu wa mchezo wa siasa ni uwanja tenge!, umelalia upande wa chama kimoja, hivyo wale wengi waliokataa vyama vingi, bado wanaendelea kukichagua chama chao kimoja kile kile mwaka hadi mwaka, na bila mabadiliko ya kweli ya katiba, kuleta katiba ya vyama vingi, then chama hiki kimoja kitaendelea kutawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo na pengine kitatawala milele!.

Mada ya leo ni kuhusu haki, ya ”wengi wape, ila wachache wasikilizwe”!. Katiba ndio sheria mama inayotoa haki zote za watu wote wa Tanzania. Hili ni ombi kwa Rais Samia, lile jicho lake niliwahi kuliandika humu kuwa ni jicho la haki, liangazie haki kuu za msingi zilizoporwa na sikio la Rais Samia nililiita ni sikio la haki kuziangazia haki tatu kuu kwenye katiba yetu ambazo zimeporwa na serikali zilizotangulia!.

Paskali
Umekuwa na nyuzi nyingi sana humu, je kuna Uzi wowote ambao ulijaribu kuadress chanzo cha haya (haki) kabla ya matokeo yenyewe! Hauna 'credibility' ya kushauri lolote Kwa sasa maana ulijikita ktk sifa na kujipendekeza Kwa watawala waovu.
Mkuu Ari. Arizona 1 , karibu mitaa hii

P.
 
Wanabodi,

Kwa vile matatizo makubwa ya siasa zetu yako kwenye katiba, tulianza mfumo wa vyama vingi kwa katiba ya chama kimoja, ili kuwatendea haki Watanzania, tunaendelea kumuomba kwa unyenyekevu Rais wetu Samia Suluhu Hassan, aendelee kuliishi jina lake kwa kuleta suluhu ya kweli ya mtanziko wa siasa zetu, kwa kupokea maoni ya wengi, wanaomkubali kwa makubwa na mazuri anayoyafanya, lakini maoni ya wachache wanaotaka tufanye kwanza mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, pia wasikilizwe ili tufanye mabadiliko ya Sheria ziwe ni sheria za haki kwa wote, wengi wape, wachache pia wasikilizwe.

Mungu Mbariki Rais Samia Aweze.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali
Wana JF,

Lengo la uzi huu sio kutangaza ushindi wa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, bali kuutangaza kinachokwenda kutokea uchaguzi Mkuu wa 2025!, kwasababu kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa tulishauri Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana! haya sasa ni matokeo!

leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.

Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。

Conclusion

Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika! tena only if CCM 2025 -2030 italala!。

Hata baada ya igizo hili la uchaguzi huu wa serikali za mitaa, fursa to make it right kwa uchaguzi wa 2025 usiwe igizo, bado ipo!.
Rais Samia ni fursa ya kutenda haki 2025, Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria! Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Unaweza ukajiona kuwa ni realist lakini maandishi yako mengi yanaakisi mtazamo wako ambao ni pro CCM.
Nina mifano, mmojawapo ni baada ya uchaguzi wa 2024 ambao 98% ya wapinzani wa CCM walienguliwa ila wewe kuandika makala kuipongeza CCM kwa ushindi na kuwataka CHADEMA kukubaliana na matokeo.
Mkuu cencer09 , sasa hii ndio kitu kinachoitwa reality, yaani kuukubali ukweli halisi wa kilichopo, hata kama kina kuuma vipi, huo ndio ukweli, lazima uukubali na kuendelea nao. Hivyo ushauri wangu huo kwa Chadema kukubali matokeo, ndio was the best option na the best way forward.

Kweli hii ni makala ya pongezi kwa CCM kwa ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ila pongezi hizo zilikuwa zinaandamana na maangalizo!. Je ulifanikiwa kuyaona hayo maangalizo?.
Hili lilikuwa ombi la kwanza.

Kitendo tu cha kupongeza uovu badala ya kukemea inatia hofu ile dhamira iliyopo ndani ya Moyo wako.

Hivi unaiba mchakato wa uchaguzi, unaiba kura wakati wa uchaguzi, unaua watu sababu ushindi uchaguzi kwa hila, badala ya kukemea uovu huu Ili taifa lipone wewe unapongeza hata kama utaweka angalizo. Unafikiri wahanga walioporwa haki yao ya kuishi, haki ya kuchaguliwa, haki ya kuchagua wanachukuliaje hiyo makala?
And you have the audacity of saying that's the only way forward are you really serious Pascal?

Watu waliokaa kwenye mkutano was maridhiano kwa takriban mwaka mzima kuja kukataa mapendekezo yote ya wenzao wa upinzani kwa kuja kutenda uovu zaidi ya ule wa awali reaction ya wadau hususan wale wa upinzani watakuona wewe ni realist au chawa wa wenye mamlaka? Let's be honest Pascal I don't mean to insult or kukuvunjia heshima. Was that the best option forward really?

Kwa nini sasa inazungumzwa tena na hao hao CCM wakae chini wazungumze wafikie maridhiano? Why now siyo kabla ya Oct 29?
 
Back
Top Bottom