Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

Hizo 350M zinatoka wapii?? Akati signing Fee ni 100M na mshahara miezi 3 ni 12M, jumla ni 112M

au unadhani hilo dau wanataja km vile unauza Mbolea za Ruzuku?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnalooo hilo, pyeee pyeeee pyeee Fyuuuuuuh
 
Wahuni watamalipia hiyo Hela na ataondoka tu
 
Wahuni wakimtaka watailipa tu
 
Hili halikuwa tatizo. Tatizo ni kukataa m114 iliyotumwa kwa barua na kukimbilia TFF bila kusema kama sio m114 ilipwe kiasi gani na kwanini na kuja na options tatu ambazo hazihusiani na Fei kuondoka bila kuwa na timu.
 
Si mlikuwa mnafurahia kupewa ndege, millions za magoli, na pilau la Ikulu?...Haya sasa limewakwama kooni.

Na lile pilau mlilokula juzi I can imagine the harufu of ushuzi mnaoutoa huko nyuma kwenye mwiko. 😆🤣
 
Eng hersi hajui ukishaolewa lazima ulale mapaja wazi.

Ajitahidi kulala hvyo hvyo aisee[emoji23]
 
Yaan kuvunja mkataba isifike 200mil halafu release clause ndio iwe 350mil haya nayo ni maajabu.
 
Na Ghalib hayupo tayari kwa hilo.
Maana agizo lile linaweza kuipatia Azam au Simba mchezaji wa bure kwa njia za haramu, baada ya swala la fei toto kumalizika kwa njia za kiserikali hakuna mtu atakaeweza kuzuia Yanga pia kumrubuni mchezaji wanaemtaka kutoka timu nyingine hata kama atakuwa na mkataba wa miaka mingapi. Formula itakuwa hiihii ya Fei toto formula.
 
Fei ni mtoto mdogo sana, apewe ushauri sahihi kwa manufaa yake na watoto wenzake walioko kwenye mpira ili waendeleze vipaji na vipato vyao. kama tutatumia njia za mkato hatutakuwa tunawasaidia vijana na mpira wenyewe.
 
Suala hapa ni kuachana na Fei. Weka dau la Fei mezani na sababu zenye mantiki alilipe aondoke. Akishindwa ni suala jingine.
 
Muwe Mnasikiliza vizuri.

Rais ALISEMA NYIE mmeniomba na Mimi niwaonbe jambo Moja.

KLABU kubwa kama yanga kuwa na migogoro na wachezaji haipendezo.
Akaomba wamalizane na Toto.

Rais AMETOA Ombi.
Kutoa ombi si AMRI.

HAJA VUNJA KANUNI YOYOTE ILE.
kweli kabisha. Hakusema wamuachie awe huru kuondoka, aliomba wamalizane, sasa kumalizana ni kumwacha aondoke bila kuuzwa? Msimmezeshe mama maneno yenu ya kipuuzi. Hapa kuna wajibu kwa Yanga na kuna wajibu kwa Fei toto pia.
 
Kwani si wamesikia amesema" uzuri GSM hatumbinyi kwenye biashara zake"
Tatizo Yanga sio mali ya Ghalib wala Hersi. Ingekuwa timu kama Azam ingekuwa fasta tu. Maamuzi yoyote yasiokuwa na maslahi na Yanga ni sababu tosha ya kuwanyang'anya timu yetu. Maana hii inaweza kusababisha wachezaji wote wazuri wakaondoka Yanga kwa njia hiihii ya Fei.
 
We umejuaje kama itakuwa 350,au na wewe ni kiongozi wa uto??haya mumuache dogo aende zake wacheni roho za korosho.
 
Mbolea za ruzuku tena jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Basi subilia embe chini ya mnazi kwa hizo akili zako, Usifikiri kila sehemu ombi la Rais linafanya kazi, ombi la Rais litafanyiwa kazi na fei mwenyewe kufata utaratibu na sio vinginevyo akatajiwe dau lake alipe aondoke zake
Yanga ifuate kanuni za Fei badala ya Fei kufuata kanuni za Yanga. Yaani unataka kusema hata TFF walivyosema Fei ni mchezaji halali wa yanga nayo haina akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…