OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

tunasema utendaji wa kazi as waziri wa ardhi not as waziri wa dini
Whatever the case bado ni uadui tu
Sio mimi bali wazanzibar

Yaleyale ya Magu kusema hivi nikiondoka nani ataendeleza
 
Lukuvi nae atatufaa sana Umoja Party, tunaendelea na maokoto kimyakimya, kitaeleweka tu.
 
Sasa Wizara kama haina waziri, hata kama si Lukuvi anahitajika mtu mwingine comptent
 
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake. Hiyo wizara ya ardhi kabla hajapewa Lukuvi ilikuwa na matatizo makubwa sana. Na sasa tangu Lukuvi aondoke ni kilio nchi nzima dhuluma ya ardhi kwa masikini na rushwa vimetamalaki upya.

Kiukweli kabisa jamaa alijitahidi sana kuirekebisha hiyo wizara. Suala la yeye kurudishwa au kutorudishwa bado litabaki kwa mheshimiwa raisi kwani yeye ndiye pekee anayejua kwa nini alimuondoa hapo ardhi na kumpumzisha.
Huku kwetu tulishaanza mchakato wa kupimiwa ardhi ili kupewa hati za nyumba na tulishafikia hatua ya kuwekewa beacon . Tangu Lukuvi aondoke kila kitu kimesimama!
 
Watu wapo wengi wa kufanya kazi sio lazima arudi huyo Lukuvi.

Kashakaa serikani miaka kibao bado mnataka arudi siku akistaafu au akifa inamaana wizara nayo itakufa?

Hakuna haja ya kumrudisha watafute mbinu za kuleta efficiency tu.
Weeh lile she.tan lirudi Ardhi? never 🤔
 
Huku kwetu tulishaanza mchakato wa kupimiwa ardhi ili kupewa hati za nyumba na tulishafikia hatua ya kuwekewa beacon . Tangu Lukuki aondoke kila kitu limesimama!
Hakunaga hati ya nyumba🤣ni hati ya kiwanja,wabaneni hiyo kampuni mliyowapa hela za upimaji wakamilishe kazi🙏
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Nchi hii kwa sasa kama Mfalme wa Msoga Kingdom hakutaki hupati nafasi!
Alimuondoa kwasababu eti anataka Urais,cha kushangaza pia Mwigulu na January wanataka Urais pia ila wapo Barazani!
Watu wa Pwani kwa unafiki!!
 
Hii vizara Lukuvi aliitendea haki na hakika aliimudu mujarab kabisa.
Kama ni makosa alimpara mama, basi mama anapaswa kumsamehe kama alivyo wasamehe wengine.
Kosa lake kuutaka Urais ambao pia January na Mwigulu Wana utaka.
 
Watu wapo wengi wa kufanya kazi sio lazima arudi huyo Lukuvi.

Kashakaa serikani miaka kibao bado mnataka arudi siku akistaafu au akifa inamaana wizara nayo itakufa?

Hakuna haja ya kumrudisha watafute mbinu za kuleta efficiency tu.
Mbona Mkuchika yupo tangu enzi za Mwalimu Nyerere,kuna zambi gani Lukuvi akirudi?
 
Mbona Mkuchika yupo tangu enzi za Mwalimu Nyerere,kuna zambi gani Lukuvi akirudi?
Mkuchika alitolewa lini na kurudishwa?Elew logic sijawahi kukataa Lukuvi kuwepo ila mambo ya kutolewa na kurudishwa ndio nayopinga. Watanzania wako wengi wanaofaa.
 
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa.
Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99%

Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi

Lukuvi aliimudu sana.
Kwasasa mtawalaumu mawaziri tatizo linapokuwa ma la mfumo no way out waziri anaweza kuonekana anafanya kazi!!kwani wanaomkwamisha ni viongozi wa ndani ya serikali na chama!!ardhi ya wananchi inachukuliwa na muwekezaji,kihuni waziri anaenda anawasikiliza inaonekana wananchi wana haki,upande mwingine anaibuka waziri mkuu,au VP,anasema muwekezaji asisumbuliwe!!limeisha hilo,mtaenda mahakamani mtashinda sawa,ngoma kwenye utekerezaji wa hukumu hakuna!!!
 
Back
Top Bottom