Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

Utaota nyasi na wataishi nyoka, nnge na kenge
 
Avatar ya mtu inaakisi mawazo na roho ya binadamu huyo alivyo.

Haiendi mbali na sura halisi ya avatar hiyo, yaani inacheza mule mule daadek!
 
Nilijua hili litatokea ila sikujua kama ni haraka hivii Mwacheni Mungu aitwe Mungu jamani πŸ™
 
Mi nipo GEITA hakuna hizo huduma.za ndege pande hizi...nafikiri ungetumika kuanikia mazao ya shambani na ziwani...badala ya kuharibika

Mi nipo GEITA hakuna hizo huduma.za ndege pande hizi...nafikiri ungetumika kuanikia mazao ya shambani na ziwani...badala ya kuharibika kabisa
Acha uongo, hujafika Chato.

Huduma za ndege zipo kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…