Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

Watanzania bhana, kesho sie wenyeuelewa na tusio na tamaa still tunaenda na magufuli kwa mwendo wa siku 1825 zingine..

Fanyeni kazi ndio maana wengi mnalilia kuajiriwa kwasababu hamna uvumilivu mkashindwa kujiajiri.
2025 twende na Magufuli
 
Labda Kinyarwanda au ile lugha pendwa ya wasiojulikana.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jinsi anavyo ongea na jinsi hawa watu wanavyo msikiliza ni Kama vile wana viashiria vya kumdharau fulani hivi.

Kama hatujakudharau wewe mleta mada, basi raia hawawezi kumdharau Kamanda Lissu kwa kutoa hoja za msingi!

Mkapa alifanya mdahalo na wapinzani, Magufuli anaogopa nini?
 
Katika vitu hawezi kukubali ni mjadala, labda azaliwe upya!!

Huyu hata tu ule utaratibu alioasisi Mkapa wa kuhutubia taifa kila mwezi aliukacha ambao angekuwa mwenyewe hahojiwi, sembuse mjadala?!
Ule ulikuwa utaratibu wa mtu binafsi sio sheria wala kanuni za nchi so sio lazima kufuata.
 
Lissu muonee huruma mwenzio asije kuanza kusema "Intapentuanyiwashuaship" badala ya Enterpreneurship

Hahahahaha

Tufungue vyuo vya language tupu bongo tupate wakalimani wa lugha tofautiyofauti wa kutosha!
Akifanya mdahalo ndo Tanzania itapata maendeleo? Acheni kubwabwaja, tunataka kazi!
 
Maskini Lissu kaona anabwabwaja tu hamna yeyote upande wa pili anahangaika nae anaanza kujipendekeza. Ye si afanye yake wanachi wamuelewe kwa anachokifanya kwani ni lazima Magufuli awe main character kwenye hotuba zake? Kama anataka mdahalo si afanye na Membe inatosha!
 
Upinzani ilani yenu ya uchaguzi imetoka?

Bring forward your election manifesto.

CCM inayo tayari ilani yake ya uchaguzi.

Waleteeni wananchi waichambue ilani yenu ya uchaguzi.

Acheni blahblah zisizo na tija.


Tanzania hakujawahi kuwa na uchaguzi , kuna UCHAFUZI

Uchaguzi huwepo kwenye nchi inayofuata katiba na sheria, na kuwepo Tume huru pamoja na mahakama huru.

Ikiwa 95% ya wajumbe wa Tume ni wanachama wa CCM , kuna uchaguzi hapo ??
 
Back
Top Bottom